M mbibilu Senior Member Joined Aug 10, 2016 Posts 133 Reaction score 89 Aug 14, 2016 #21 jamani mbona umenifanya nicheke asee apoo kusu ombaomba yaan msukuma anavyohangaika ivo na mifugo aikimbie mifugo yake aje kua omba omba dar....hahahahaha
jamani mbona umenifanya nicheke asee apoo kusu ombaomba yaan msukuma anavyohangaika ivo na mifugo aikimbie mifugo yake aje kua omba omba dar....hahahahaha
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,773 Reaction score 167,989 Aug 15, 2016 #22 LINDAIKEJI said: Hawa mbona ni watu wanaongoza kwa vibarua hasa mashamba ya mikoani kulima? Nadhani tunayoyaskia na uhalisia wa Dom ni tofauti Click to expand... Mie sijasikia hawa watu nimeishi nao miaka sasa
LINDAIKEJI said: Hawa mbona ni watu wanaongoza kwa vibarua hasa mashamba ya mikoani kulima? Nadhani tunayoyaskia na uhalisia wa Dom ni tofauti Click to expand... Mie sijasikia hawa watu nimeishi nao miaka sasa
S SITABIRIKI JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 364 Reaction score 105 Aug 23, 2016 Thread starter #23 natoka hapa said: Mbona yote nayajua tangu kitambo? Huna jipya muombe mod afanye editing ya heading yako Mpango wa kuhamia Dom uko palepale Click to expand... aliye kwambia usihamie nani?
natoka hapa said: Mbona yote nayajua tangu kitambo? Huna jipya muombe mod afanye editing ya heading yako Mpango wa kuhamia Dom uko palepale Click to expand... aliye kwambia usihamie nani?