SITABIRIKI
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 364
- 105
Hata wakiwa wavivu kiasi gani bado wakwere,wazaramo ni balaa kwa uvivuIla wakazi wa huo mkoa ni wavivu asee si wanaume si wanawake
Wangekuwa na umoja kwenye maendeleo tungeona hata ubora wa maisha yao huko kwenye vijiji vyao. Lakini wapi....1.Ni mkoa wenye makabila mengi ya wenyeji yenye lugha zisizo ingiliana kuliko mikoa mingine kama vile warangi,wasandawe,wagogo,waburunge
,wa'asi,watiriko
2.Mkoa ambao ombaomba hata atoke shinyanga husingizia katoka dodoma
3.Wakazi wake wana umoja katka shughuli za maendeleo na si kuandamana
4.Ni mkoa ambao wenyeji wake wengi hawaoni umuhimu wa elimu,uoto wa asili km miti n.k
ongezea
SINA JIPYA KWA NANI? Kama unajua wewe si wote mkuuMbona yote nayajua tangu kitambo?
Huna jipya muombe mod afanye editing ya heading yako
Mpango wa kuhamia Dom uko palepale
Mwl, kuliko wa pwani na Dar! yaani Dar isingekuwa wageni kuuinua ndio ungekuwa mkoa maskini Tanzania, wanawaza vigodoro tu baada ya mdundiko kutowekaIla wakazi wa huo mkoa ni wavivu asee si wanaume si wanawake
Extent ya pwani siijui sijawahi kuishi nao japo nasikia sikia nao kwa uvivu wamo ila wagogo dah too much ni wavivu sana, kuna siku nipo kwenye usafiri tukawa tunaongea hii ishu Maza mmoja sijui ni mgogo akasema sio kwamba wanapenda kuwa hivo Ila ni roho inawandama tuwaombee, hiyo roho imekamata wagogo tu?? Hawa watu hapana aseeMwl, kuliko wa pwani na Dar! yaani Dar isingekuwa wageni kuuinua ndio ungekuwa mkoa maskini Tanzania, wanawaza vigodoro tu baada ya mdundiko kutoweka
hahahaaaaExtent ya pwani siijui sijawahi kuishi nao japo nasikia sikia nao kwa uvivu wamo ila wagogo dah too much ni wavivu sana, kuna siku nipo kwenye usafiri tukawa tunaongea hii ishu Maza mmoja sijui ni mgogo akasema sio kwamba wanapenda kuwa hivo Ila ni roho inawandama tuwaombee, hiyo roho imekamata wagogo tu?? Hawa watu hapana asee
sio wakazi sema wenyejiIla wakazi wa huo mkoa ni wavivu asee si wanaume si wanawake
Hawa mbona ni watu wanaongoza kwa vibarua hasa mashamba ya mikoani kulima? Nadhani tunayoyaskia na uhalisia wa Dom ni tofautiIla wakazi wa huo mkoa ni wavivu asee si wanaume si wanawake
Mi nimekulia Pwani & Dar. Wale si kwamba wavivu ila hawa tamani maisha mazuri na wanaridhika na vitu vidogo saaana. Yani wao mkeka barazani, jirani apite umbea bhaaaas hayo ndo maisha.Mwl, kuliko wa pwani na Dar! yaani Dar isingekuwa wageni kuuinua ndio ungekuwa mkoa maskini Tanzania, wanawaza vigodoro tu baada ya mdundiko kutoweka
Mie sijasikia hawa watu nimeishi nao miaka sasaHawa mbona ni watu wanaongoza kwa vibarua hasa mashamba ya mikoani kulima? Nadhani tunayoyaskia na uhalisia wa Dom ni tofauti