Hahahahahaha..... Alyekua anamtolea mwenzake POVU kama sio UJI ni me au ww?! Maana nakuona mtu mzima unahangaika kila siku unanijia na tuhuma mpya mara oooh nimekutusi, sijui nimekuita kilaza sijui nn. Kumbe unajitusi mwenyewe. Halafu ulivyo na akili fupi juzi eti ukaja na POVU eti siku ile ulikua umefunga kwa hyo NIKUTUKANE tena siku ambayo ulikua hujafunga,KWELI?! Mkuu naanza kupata wasiwasi na hyo elimu yako nahisi haijakusaidia, pia naanza kupata mashaka km kichwani upo SAWA. Usiku Mwema.Bwahahahahaha mkuu POVU la nini hili?
Aisee wala usihangaike kunijibu tena maana wewe unaumwa CHRONIC DYSLEXIA.
HUNA UWEZO wa kuandika vizuri na mtu akaelewa.
😀😀😀😀😀😀
Ukiona huelewi bhasi inaelekea una michanga kichwani maaana kama wenzako wote wanaelewa na tunaelewana vizuri tu wewe peke yako ndo huelewi bhasi embu jaribu kujitathmini upya.Ila asante kwa huo ugonjwa ulionipa[emoji3] [emoji3] [emoji2] .Bwahahahahaha mkuu POVU la nini hili?
Aisee wala usihangaike kunijibu tena maana wewe unaumwa CHRONIC DYSLEXIA.
HUNA UWEZO wa kuandika vizuri na mtu akaelewa.
😀😀😀😀😀😀
Teh teh teh teh teh teh!
😀😀😀😀😀😀😀😀
Kibaya zaidi ulisema walishusha moja jambo mwaka 1960 jambo ambalo ni uongo mkubwa na SUGU.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Teh teh teh teh, umeona mawenge hayo.
Utanihisi hadi kibabu mwaka huu.
😀😀😀😀😀😀😀😀
Bwahahahahah! Michanga kichwani tena?
Mbona unaongea sana lugha ya picha mkuu?
😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
Serious talk: Mwanangu jifunze kuandika vizuri, huenda nikaja kukuelewa huko mbeleni maana unapuyanga sana.
Siyo Kiswahili wala Kiingereza au wewe ni unatokea RWANDA?
Mkuu si uniombe tu nikupe hivyo vitabu nilivyosomea mwenzako Mwaka wa pili na wewe utoe matongotongo.
Unajua Sharing is Caring,.....teh teh teh teh teh.
Omba basi nikupe..........After all we are not enemies YOU KNOW (In lemutuz voice)
Rudia maPOVU yako ya nyuma ndo utajua km nakuita kila jina au nakubatiza. Sio wewe uliyekua unajiita msomi mpaka kuusema mfumo wa elimu Tanzania?!Hehehehehehe!
Mara hii nimeshakuwa MSOMI tena?
Nakwambia utaniita kila jina mwaka huu.
Inawezekana.
Asante (japokua sidhan kama umeyatoa kwa moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] ) ,Mwaka wa mwisho unasomea kitu gan?Basi sawa mkuu.
Ila tuweke utani pembeni.
Wewe jamaa una akili sanaaaaaaa!Sanaaaaaa.
Usione nakubishia tu hivi, nakuonea bonge la wivu.
Nataka siku nije kuwa na uwezo mkubwa kama wako, kiukweli ninajifunza mengi sana kutoka kwenye nyuzi zako.
Endelea kutua elimu ya bure mkuu BTW mimi nina miaka 22 tu ndiyo niko mwaka wa mwisho hivyo nina mengi ya kujifunza mkuu.
Asante (japokua sidhan kama umeyatoa kwa moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] ) ,Mwaka wa mwisho unasomea kitu gan?
Aaaah me niko mwaka wa kwanza MD(MUHAS).
Asante... Nawe karibu Dar es salaam.