Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,671 Apr 27, 2019 #1 Mwenzenu kaingia mazima huyoo Benpol and Anerlisa
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,936 Apr 27, 2019 #2 Akiingia atulie sasa, waache sarakasi za mapenzi na kiki zisizoisha.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,184 Apr 27, 2019 #3 Mungu awape hitaji la moyo wao na ikawe kheri milele. Amina
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,205 Reaction score 69,743 Apr 27, 2019 #4 Wagogo Tunakosea Wapi
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Apr 27, 2019 #5 Oh...safi....
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Apr 27, 2019 #6 Kennedy said: Wagogo Tunakosea Wapi Click to expand... Kumchagua ndugai kuwa mbunge
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,918 Reaction score 8,704 Apr 27, 2019 #7 kabanga said: Oh...safi.... ''Hakuna Baba Mwenye Gari, kuna Baba mwenye Nyumba tu....!'' Click to expand... Nje ya mada Mkuu unaweza kulala kwenye gari, lakini hauwezi kutembea na nyumba
kabanga said: Oh...safi.... ''Hakuna Baba Mwenye Gari, kuna Baba mwenye Nyumba tu....!'' Click to expand... Nje ya mada Mkuu unaweza kulala kwenye gari, lakini hauwezi kutembea na nyumba
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,671 Apr 27, 2019 Thread starter #8 Na iwe hivyo.. Hope kapata ujumbe wako Nami naomba huyu Dada amfikishe mbali kijana wetu SK2016 said: Akiingia atulie sasa, waache sarakasi za mapenzi na kiki zisizoisha. Click to expand...
Na iwe hivyo.. Hope kapata ujumbe wako Nami naomba huyu Dada amfikishe mbali kijana wetu SK2016 said: Akiingia atulie sasa, waache sarakasi za mapenzi na kiki zisizoisha. Click to expand...
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,671 Apr 27, 2019 Thread starter #9 Aminaa Southern Highland said: Mungu awape hitaji la moyo wao na ikawe kheri milele. Amina Click to expand...
Aminaa Southern Highland said: Mungu awape hitaji la moyo wao na ikawe kheri milele. Amina Click to expand...
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Apr 27, 2019 #10 Nas Jr said: Nje ya mada Mkuu unaweza kulala kwenye gari, lakini hauwezi kutembea na nyumba Click to expand... Ikiwa huna akili timamu unaweza kufanya hivyo usemavyo.....
Nas Jr said: Nje ya mada Mkuu unaweza kulala kwenye gari, lakini hauwezi kutembea na nyumba Click to expand... Ikiwa huna akili timamu unaweza kufanya hivyo usemavyo.....
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,671 Apr 27, 2019 Thread starter #11 Hahahaa kuhusu nini? Kennedy said: Wagogo Tunakosea Wapi Click to expand...
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,767 Reaction score 17,800 Apr 27, 2019 #12 Kennedy said: Wagogo Tunakosea Wapi Click to expand... Matonya alikua mgogo pia.
sawee225 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2017 Posts 3,225 Reaction score 12,118 Apr 27, 2019 #13 Vipi ebitoke??
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,854 Apr 27, 2019 #14 huwa nakataa kuongozwa na mafeelings sijui kwa nn
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,303 Apr 27, 2019 #15 Ben paulo kuwa muangalifu kijana,ukitimuliwa unatoka na boksa tuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,279 Reaction score 185,555 Apr 27, 2019 #16 Ngoja tuone... Cc: mahondaw
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,205 Reaction score 69,743 Apr 27, 2019 #17 aggyjay said: Hahahaa kuhusu nini? Click to expand... Umenielewa Vizuri 😂😁
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,205 Reaction score 69,743 Apr 27, 2019 #18 Mrs Van said: Matonya alikua mgogo pia. Click to expand... Ndugai, Kibajaj,
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,281 Reaction score 7,953 Apr 27, 2019 #19 Kennedy said: Wagogo Tunakosea Wapi Click to expand... Tatizo hospital ya milembe ipo kwenu
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,205 Reaction score 69,743 Apr 27, 2019 #20 sayoo said: Tatizo hospital ya milembe ipo kwenu Click to expand... Kweli Nashauri Ihamishwe Dodoma Ila Hakuna Mkoa Wataikubali
sayoo said: Tatizo hospital ya milembe ipo kwenu Click to expand... Kweli Nashauri Ihamishwe Dodoma Ila Hakuna Mkoa Wataikubali