Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

!
!
tukong'otane kwanza kama siku saba hivi mfululizo ili tuweze kuheshimiana bana...agrrrrrrrrrrrrrrrrr. Kila mahali Zittooooo Zittooo ah mie binafsi nimeshachoka wamfukuze tu yaishe bana aaaagh
 
inafurahisha kuona vyama viwili maarufu sana na vyenye washabiki wengi sana hapa nchini vikipimana ubavu kwa njia ya nguvu ya hoja

CCM Vs CHADEMA
 
Naunga mkono hoja tuwe na serikali tatu lakini chama kimoja tu
 
Ngoja tuone leo itakuwaje
 
hadi wauza unga wameletwa mahakamani kumshabikia zzk!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…