Mambo Ndio Haya, hapa hakieleweki

wakiliwa kiboga lazima waanze kutandikana wenyewe
 
Hawa jamaa walitoka kuiba sehemu, wakaammua wajipongeze matokeo yake ndio hayo!!
 
Zitakua za kununuliwa, walidhani wanamkomoa aliyewanunulia
 
ukipigaaa chabo kwa haraka haraka naona jack daniel palee imekataa...waseee wamekunywaaa mpaka wameraraa,hapo pasuliaa yai kwenye masuburii.afuu unakulaa piniii uone kama kunaa atae semaaa.baada hata wanunuee kitanda wanalewaaa wa africaa banaa
 
inatia uchungu kama si wazazi wa sasa ni wa kesho,itakuwaje ?
 
sasa ngoja cameroon apite hapo, wamekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…