Mambo muhimu ya kuyafahamu kama bado hujaweka biashara yako mtandaoni.

kaka9

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
280
113
habari wakuu!
ninapozungmzia mtandaoni na maanisha search engines kama vile Google,Bing,yahoo,Ask,Websiteas,Blogs na mitandao ya kijamii kama vile Facebook,Twitter n.k.

je hivi kuna umuhimu mkubwa wa kuweka biashara yako mtandandaoni?, ndio kuna umuhimu mkubwa wa kuweka biashara yako mtandaoni kwa sababu zaidi ya watu Billion 3 Duniani kote wanatumia mtandao na Tanzania zaidi ya watu millioni 20 wanaingia mtandaoni,kwa sababu hiyo ukiweka biashara yako mtandaoni itaweza kutazamwa na watu wengi zaidi kwa urahisi na mda mfupi.

je ni biashara gani naweza nikaweka mtandaoni?,biashara yoyote ile unaweza ukaweka mtandaoni iwe Genge,Duka,bar,mgahawa,salon n.k,

je na wezaje kuweka biashara yangu mtandaoni?,ndio unaweza kuweka lakini usijaribu kuweka mwenyewe biashara yako mtandaoni kama hauna utalaamu wa kutosha na usimpe mtu mwingine akuwekee asiyekuwa na utalaamu utaharibu mwonekano wa biashara yako mtandaoni inaweza biashara yako ikaonekana ya kitapeli,nitafute mimi nikuwekee biashara yako mtandaoni vizuri kwa bei ya kuanzia Tsh.50000/= na kuendelea inategemeana aina na ukubwa wa biashara bei inaweza ikaongezeka.

je naweza nikatangaza biashara yangu mtandaoni na nikapata wateja?ndio unaweza ukatangaza biashara yako mtandaoni na ukapata wateja,lakini usijaribu kutangaza biashara yako mwenyewe mtandaoni kama hauna utalaamu wa kutosha na usimpe mtu asiyekuwa na utaalamu akutangazie biashara yako,utapata hasara tu na utaichukia biashara ya kutangaza mtandaoni,nitafute mimi nitakutangazia biashara yako na utapata wateja.

kwa mawasiliano piga au txt 0762508455.
 
Bandiko lako tu limekaa kitapeli tapeli,je nikikupa biashara yangu uniwekee mtamdaoni si ndio utaharibu kabisa
 
Mwambaaaa.... you made my night.. nimecheka hatari na hizo Je Je zako.. hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki ukweli ajira ni ngumu, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu. Kila mtu anajiongeza kivyake angalau apate mkate. Bahati mbaya vijana wanakuwa kama Wanakurupuka. Hawajipangi.

Naona kuna wengine wanaanzisha blog, lakini blog ukifungua tu pop-ups kibao hata habari yenyewe huwezi kuosoma. Eti naye anataka ku monetize. How are you going to monetize wakati habari zako hazisomeki.

Kuna wengine waameanzisha vi online TV..youtube channels. Ukiangalia vi habari vyao vya uzushi na kuokoteza...title zake haziendani na habari. Ukishafungua na kutazama mara moja hurudii tena kuangalia nyingine.

Ili mradi watu wamesikia kwamba unaweza kutengeneza pesa online basi kila mtu amekurupuka kuingia mtandaoni.
 
Back
Top Bottom