Mambo muhimu mabasi ya ziara jijini Dar-es-salaam .

Mambo muhimu mabasi ya ziara jijini Dar-es-salaam .

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,789
Reaction score
4,831
Nimefurahi kuona ubunifu unaofanywa na jiji letu la Dar-es-Salaam ni jambo la kupongeza sana. However mambo Machache ya ushauri ili kuboresha kwa mujibu ya maoni yangu. Moja bus limekaa Kama la kwenda mkoani kwani kwa experience Yangu mabus ya city tour mara nyingi yanapendeza Yakiwa double decker floor ya juu ikiwa wazi kwa watu kuenjoy view ya sites za vivutio kwani kwa bus hilo kuna restriction ya ku view Maeneo husika na halina tofauti na Simba mtoto inayokata mbuga kila mtu aki enjoy view ya mgongo wa mwenzake.

Pili ni bora tukajali customer service ya uhakika guide awe ni mtu mwenye uelewa mzuri wa maelezo ya sites na hospitality mara nyingi inapendeza wanadada waliopikwa vema na Sauti zenye kuwa na mvuto. Wabongo hii sector ni maji na Mafuta kuna sehemu sisi watanzania tumekaa so traditional na hatuoni haja ya kubadirika, mfano Radio Tanzania na ATC kwenye reception za customer services tumekaa kiutanzania zaidi hebu tuigeni hata majirani zetu sasa hasa kwa miradi mipya ya kisasa Kama hii ni bora tukaja na vitu vipya Ili isiwe business as usual maana watu wengi wakipata opportunity ya kazi wanaweka wajomba nk bila kujali impact kwenye performance anakaa kwenye mic bila kujali Kama anafit ama la .

Ushauri wa mwisho fungeni technolojia mfano si kila mmoja anaefanya tour lazima asikilize maelezo ya mtu wa guide kuna wengine wanaenjoy kuona tu bila kusikiliza so tukiweka headphones anaetaka kuangalia bila kusikiza atatendewa haki na anaetaka maelezo atatendewa haki hii ni tabia inayopendwa sana na wazungu kila mmoja kupata choice yake wanafurahi kabisa na ikibidi kuwa na options za lugha kadri inavyowezekana .

Watanzania tunahitaji changes tusikalie business as usual lazima tukomae tujiulize Kama wale wanaweza Kwa nini sisi nadhani mh Raisi kila siku anatupa guidance za kutosha hasa narudia tuepuke poor customer services zinatuangusha kupita maelezo na Kama jamii hatujitambui hospitality tuna underperform kwa kiwango gani.

Mungu awabariki though kwa jitihada za kila siku za kuleta mabadiriko
 
Niliposikia Tour Bus nilijua ni double decker huku juu likiwa wazi. Una pichs yake utuwekee?
 
It's a very good idea but they need to stretch their minds more... Otherwise itakuwa ni kazi bule. Yale mabasi kwa nje hayana tofauti na uda. Pili kwa niijuavyo serikali yangu they are very slow on mantainance wasipo badilika kwa hili project itakufa
 
Kwa kuanza ni jambo jema, mwanzo ni mgumu sana!
 
Niliposikia Tour Bus nilijua ni double decker huku juu likiwa wazi. Una pichs yake utuwekee?
Nawaza tu,haya mawayawaya ya umeme ya simu yanayokatiza barabara zetu sijui na hayo ma double decker itakuwaje?
Nawaza tu
 
Dar Jua kali... watu wata ungua... kama juu kukiwa wazi... au Utapeleka City ya Arusha, Mbeya na Tanga?
 
Kampala ni hivi,nadhani
images (22).jpg
images (22).jpg
images.jpg
 
Nawaza tu,haya mawayawaya ya umeme ya simu yanayokatiza barabara zetu sijui na hayo ma double decker itakuwaje?
Nawaza tu
Hata huko zilikozaliwa double decker hawapiti kila mtaa, dereva anajua wapi anatakiwa apite au la ingawa wapo wanaopitisha sehemu za ajabu linakatwa kichwa!
Btw double decker za utalii decker ya juu inakuwa imekatwa nusu hivyo haitofautiani sana na zile semi zikiwa zimebeba container
 
Dar Jua kali... watu wata ungua... kama juu kukiwa wazi... au Utapeleka City ya Arusha, Mbeya na Tanga?
Watalii wengi wanapenda kuungua ili wakirudi kwao wajulikane walikuwa kwenye sunshine abroad!
 
Good!! Tumechelewa lakini sio mbaya!

Routes zifuatazo zipewe Kipaumbele:
1. City Center to Bagamoyo
2. Anywhere around to Kigamboni
3. Anywhere around to the Northern beach belt.
 
Kama wameamua hivyo basi waogeze vivuta macho,,, manaake jiji nikubwa ila route za hayo mabasi zitakuwa fupi fupi kwa vile asilimia 80 ni maeneo mabovu yanayokatisha tamaa,, unajua wao wanakosea kitu kimoja ile mitaa mibovu kama ikiwa organised ikawekewa lami, pedestrianised, usafi ni sehemu pia ya utalii,, kama favelas za brazil, au soweto ya south ingawa ishaanza kuwa mtaa unaong'aa siku hizi
 
Back
Top Bottom