Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,358
- 29,321
Kwangu mimi mwamba ni muhimu zaidi kwani tutabadilisha uzoefu na fursa za pesa.
Demu mtaishia kulambana...viko... na kuumizans kiuchumi tu.
Mimi niko kimikakati zaidi ya utafutafi.
Kwako DR HAYA LAND
Asante sanaPole
Halafu ukute anakula ugoro 😂😂Bora amekaa mwamba angalau,
Ungekuwa umekaa na bibi/ babu (sorry lakini) hivi halafu ana mafua na kikohozi ndy ungekoma
Sio kila wakati ni mambo ya pesa,utakufa kwa stress bossKwangu mimi mwamba ni muhimu zaidi kwani tutabadilisha uzoefu na fursa za pesa.
Demu mtaishia kulambana...viko... na kuumizans kiuchumi tu.
Mimi niko kimikakati zaidi ya utafutafi.
Kwako DR HAYA LAND
Huyu mwamba analala balaa,tulipiga mwanzo mbili tatu story fresh tu,ila mwamba analala balaa,now kalala tenaKilichokuboa ni matarijio yako tu mzee,muengage huyo jamaa kwenye mazungumzo.You may find something interesting.
Mara nyingi tunakutanishwa na watu kwa sababu.
Inshallahukifika utanambia mkuu
Safari njema..🥰HIi ndio mandhari ya bsi usiku huu imebidi nipige picha kimachaleView attachment 3190877
Zoezi limeshindikana la kuhama,nakula movie tu now
Tatizo nimekata tiketi siku moja kabla,lau manifest ingekuwa inaonyesha majina ningechagu ya mchuchu,ishu inaonyesha namba za siti tuWatu huwa wanahonga wakata tiketi. Unapangwa na binti
Shukrani sanaSafari njema..🥰
Nimeanza na dua kama kawaida aisee,Ulinzi wa mungu kwanza halafu yanafuata mengineyoMuombe konda akubadilishie seat, unaacha kuomba ufike salama unakokwenda unatamani yutiayi 😏