Mambo mengine ngumu sana kuelewa

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,809
Wakuu je wajuwa nyumba yeyote Ile za warabu lazma wawe Na zezeta umoja ndani ?? I mean wale warabu matajiri labda nyumba za warabu masikini ndo hawana zezeta kwenye familia ...
 
Hivi Mo ni kabila gani?
 
Mmmmh apo unaposema nyumba yyt ile ndo sielewi labda ungesema nyumba nyingi ina maana amna waarabu wanaoweza kutafuta utajiri kwa nguvu zao za kawaida
 
Hilo zezeta lina maana gani ndani ya nyumba?
 
Naomba uthibitisho na vigezo ulivyo tumia kubaini hili jambo maana naona kama ume kurupuka tu, tena et una sema (lazima Kuna ma zezeta) [emoji23]
 
Naomba uthibitisho na vigezo ulivyo tumia kubaini hili jambo maana naona kama ume kurupuka tu, tena et una sema (lazima Kuna ma zezeta) [emoji23]
Wait
 
Iyo ndio chuma ulete yao mkuu so usishangae kabisa
 
naomba kuonyeshwa zezeta wa akina Mo tafadhali...au wa Bakhresa itapendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…