Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,930
Unakata kiu kwanza, mambo mengine ndio yanafuata, hawa wanachama wenzangu wamenifurahisha sana
Wanapoza koo kwanza, ndio wafanye maamuziWanachama waaminifu hawana shaka
Story zinasema pembeni polisi walikuwepo, ilikuwa kunywa uwezavyo hakuna kuondoka na mzigo.Wanapoza koo kwanza, ndio wafanye maamuzi
kama unatawaliwa na chama cha mafisadi unategemea nn ?Pale wizi unakuwa sifa kuu
Wanajenga madaraja, flyover,mabarabara lakini hakuna vifaa vya uokozi,askali wa zima moto hana chochote zaidi ya Nokia ya tochi, Tanzania ya viwandaUkosefu wa elimu na umasikini
Kuna uhalisia ndani yake
Vitu vingine tunamsingizia Mungu tu,ni ujinga wetu wenyeweDaaah! Sikutarajia kama kuna mtu angedownload na kuupload hii pic na kuianzishia Uzi humu wa kejeri hv