gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 6,176
- 6,824
Kuna tofauti kubwa kati ya kua na tamaa nakutokuridhika nakile ulichonacho.watu wote duniani wakisema waridhike naivyo walivyo navyo maana yake hutapata watu wenye mafanikio makubwa wakusaidia wengine kama ajira namisaada mbalimbali na lazima ukumbuke kua matatizo ni sehemu ya maisha haijalishi wewe ni mtu wa aina gani.Na lakukumbuka zaidi ni kwamba Woga wako ndio umaskini wako.Sisi wote ni marehem watarajiwa na hakuna aijuaye kesho yake itakuaje.