Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,648
- 164,807
Umejiuliza ni watanzania wangapi wenye uelewa kama wako?Kubadilisha hicho kipengele cha katiba ni vizuri zaidi ili wanachama wawe na uhuru zaidi kisheria na kikatiba ndani ya chama.
La kipindi cha uongozi ni muhimu pia tuwe na kikomo japo si lazima ifanane na ya ccm,tunaweza kuwa na kipindi cha miaka sita cha uongozi wa mihula miwili miwili.
Nasema sita ili ikitokea mgombea mwingine ambaye si mwenyekiti akachaguliwa kuwa rais basi mwenyekiti aliyepo madarakani amwachie mwaka mmoja wa mpito yule rais wa nchi.
Ishu ya mgombea uenyekiti asiwe mchaga wala siliungi mkono hata kidogo,kama mtu anakubalika basi atashinda kwa kukubalika kwake na si kwa uchaga wake kwani siamini watakaomchagua watakuwa ni wachaga.
Kanda zote zifanye vizuri ili tuwapate watu wenye ushindani mkubwa na wanaouzika kwa wananchi na watakaokuwa wazuri zaidi ya wapinzani nje ya chama.
Inaonesha mmegundua makosa yenu....kali kuliko yote ni chama cha kidemokrasia kukataza kesi kupelekwa mahakamani.nawaza chadema wakipewa dola watafanya kazi vipi na mahakama? Ndipo mambo ya kunyongana na kutupana kwenye makorongo kwa maagizo ya kamati kuu yatakapo anzaNakubaliana na hoja zote isipokuwa moja ya uchaga. Udini, ukabila siyo sifa inayohitajika ili kupata kiongozi wa chama au serikali bali uwezo wa kuongoza na kukifikisha chama kwenye malengo yake. Hivyo afuataye awe mchaga, na afuataye awe mchaga hilo siyo swala, swala ni uwezo wa kuongoza.
Kwa hapa Tanzania makabila yenye uwezo wa kuendesha vyama vya upinzani na kupata mafanikio ni haya Chagga,Meru,Iraq/Mbulu,Kyusa,Kurya basi.Wengine wote maneno tu.Chadema bado inajengwa sasa unataka wasaliti waje kuongoza Chadema?Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.
Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.
Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.
Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.
4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.
Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.
Yangu ni hayo tu.
Salary Slip
Una Mawazo Mgando sana Ndugu.
Kama vp na wewe nenda ACT kama unaona Chama hakina makazi bora kwako
Umejiuliza ni watanzania wangapi wenye uelewa kama wako?
Ni wangapi wenye uwezo wa kuchambua pumba na mchele?
Mtu asie na uwezo wa ku-reason akitajiwa alianza Mtei akafuaya Bob Makani na sasa Mbowe wote wakiwa ni wachaga ni rahisi sana kuamini hizo propaganda.
Tusiotoe mwanya wa watu kutengeneza propaganda.
Naona umejivua mahaba na kuamua kutumia kipaji ulichojaliwa na Mungu ili kuwakumbusha wenzako mambo muhimu yanayotakiwa kuzingatiwa.Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.
Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.
Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.
Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.
4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.
Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.
Yangu ni hayo tu.
Naona umejivua mahaba na kuamua kutumia kipaji ulichojaliwa na Mungu ili kuwakumbusha wenzako mambo muhimu yanayotakiwa kuzingatiwa.
Watu hawataki lakini suala la uchagga/ukasikazini, iwe propaganda ama kweli, linakiumiza CHADEMA.
Salary Slip
Una Mawazo Mgando sana Ndugu.
Kama vp na wewe nenda ACT kama unaona Chama hakina makazi bora kwako
Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.
Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.
Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.
Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.
4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.
Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.
Yangu ni hayo tu.
Japokua umejita wewe nimwanachadema na nilikua nakuona humu ndani ukipambania chama lakini nimeanza kukutazama kwa jicho la tato jitafakari kama hayo uliyoyandika yana Afya kwa chama?Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.