Mambo matano kwanini watu hawanunui bidhaa zako

Asiliatz

Member
Aug 16, 2018
97
131
Mambo ma 5 kwanini watu hawa nunui

1. Hawana uhitaji wa unacho uza.
Kama mtu hana huitaji wa unacho uza hawezi kununua.

Kama mjasiririamali unahitajika kumfanya mtu awe na uhitaji wa unachouza, kwa kumuonesha faida na manufaa ya unachomuuzia.

2. Hana uharaka wakununua muda huo.
Kama mtu haoni haraka yakununua hicho unacho uza muda huo basi hawezi kununua.

Kama mjasiriamali unawajibu wa kumpa uwoga mteja kwamba akichelewa kununua mda huo basi atakosa mazuri. Hii unaweza kufanya kwa kutoa offer za muda mfupi.

3. Hana tamaa au hamu ya kununua
Kama myeja hatamani unacho uza au hana amu ya unacho uza hawezi kununua.

Kama mjasiriamali unahitaji kumpa mteja hamu yakununua. Unaweza kufanikisha kwa kumuonjesha mteja kidogo unachouza.

4. Hana pesa
Ndio mtu hawezi kununua sababu hana pesa yakununua unacho uza.

Kama mjasiriamali unawajibu wakutambua hali mteja wako, kama umefanikisha vyote hapo juu lakini hana pesa yakununua, hau paswi kumuachilia huyo mteja, omba maswaliano au muwekeane ahadi moaka lininatakua napesa yakunua, pia usisahau kumuonesha bidhaa ambazo anaweza kununua kwa bei pungufu.

5. Hakuamini
Kama mtu hakuamini hawezi kununua unacho uza.

Kama mjasiriamali unawajibu wakujenga uaminifu kwa wateja, tumia mitandao yakijamii waoneshe unapofanyia kazi, waonesha watu waliofurahia huduma yako, waoneshe namna watakavyo hudumiwa, husijifiche fiche nyuma ya pazia hasa kwa biashara ndogondogo. Wacha wakutambue wewe ni nani. Ndio labda kuna biashara zingine zinahitaji ujifiche iliufanye biashara.nyingi ni zamagendo.

Haya ndio mambo matano kwanini watu hawa nunui.

Komenti, ni jambo gani umegundua kwenye biashara yako lina punguza kasi ya mauzo, kulingana na hayo mambo hapo juu

KUPATA KITABU cha "jinsi yakupata wateja 440 - 1,300 kila siku" Komenti "BUY".

KUPATA KITABU cha " jinsi ya kupata wateja 440 - 1,300 kila siku" Komenti "BUY"
IMG_20191115_132056_652.jpeg
 
Nyuzi ka hizi wabongo tunapita halafu tunasema tunataka kufanya ujasiliamali
 
Back
Top Bottom