Mambo makubwa Matano kutokea baada ya 25th Oct

Bundi kulia ni kawaida kama ndege wengine, lakini waafrika wengi ni uchuro!! nakuona unalia kibundi bundi vile
 
zzk,slaa na lipumba watajiunga na sisiemu kutengeneza kambi imara ya upinzani
historia ya mwanasiasa mashuhuri Enl kufananishwa na mohamed buhari wa nigeria
 
Umeandika upuuzi...kubali kataa lowassa ni raisi wako
 
Kuanzia tarehe 26 tutakuwa tunaongea lugha moja na yote yalioandikwa yatatimia

Tanzania kwanza!!!!!!!!
 
Umeandika upuuzi...kubali kataa lowassa ni raisi wako

lowasa ni rais Wa mitandaoni jamani heeeeee hamjielewi. Magogoni hayaishi maroboti kule ndunguzanguni, nawashauri mmjengee nyumba kingamboni awe anajifariji
 
Hawa team lowasa wagumu mno kuukukubali ukweli itakuwa wanalipwa pesa nzuri kwa kumnadi EDO ila mwisho wake umekaribia

Tanzania kwanza!!!!!!!
 
Baada ya Oct 25 Ukawa itakufa kifo cha mende. Wataungana na Ccm kusherehekea kuapishwa na siku ya kuzaliwa ya Mh Rais John Pombe Magifuli.
 

Yote hayo yameshatokea tayari
 
Baada ya Oct 25 Ukawa itakufa kifo cha mende. Wataungana na Ccm kusherehekea kuapishwa na siku ya kuzaliwa ya Mh Rais John Pombe Magifuli



Huu ndio uhalisia japokuwa mchungu!!!!!!!!
 
Sasa haya maoni yako unataka watz wayatumieje hasa ktk wakati huu ambapo pande mbili kuu za uchaguzi yaani ukawa na ccm zinaahidi mabadiliko?
 
Umepaia mkuu yani tunasubiri siku zifike tuyaone haya, na uhakika yatatokea tuuuu
 
Wenye macho hawaambiwi ona, na wenye maskio hawaambiwi kuskia, umeshaona upande wa pili wao wanakiuka kanuni za uchaguzi kwa kwenda makanisani kuomba kura, ujue hapo hawajiamini, na kushindwa kwao hakuko mbali.
 

Fafanua zaidi khusu hao wawili kuwa kwenye Kambi Imara ya Upinzani ilhali hawajagombea Ubunge na wameishastaafu siasa !!
 
zzk,slaa na lipumba watajiunga na sisiemu kutengeneza kambi imara ya upinzani
historia ya mwanasiasa mashuhuri Enl kufananishwa na mohamed buhari wa nigeria

Umetisha mbaya
 

Lowassa atakuwa ameisha kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…