miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Aise maji ni noma, kama hujui kuogelea unakufa kwa shida kinyama, angalia maiti zilokufa maji zilivokakamaa, we bora ujifunze kuogelea tu, unless labda kama ushapanga hutokuja vuka bahari au ziwa, vinginevyo, jifunze usipatwe na uoga siku unavuka alafu hujui kuswim.
Sidhan kama nitajaribu hats kukaribia maji