Mambo Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Tajiri Mpya Namba Moja Duniani (Jeff Bezos).

Jeff Bezos ni mgunduzi, mwenyekiti na CEO wa Amazon.com tovuti kubwa duniani ya kuuza vitu kimitandao.
Kufikia July 27,2017 alichukua taji la mtu tajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wa $90 Billion na kumshinda Bill gates hiyo ni kulingana na ripoti ya Forbes Magazine. Kufikia February 2 mwaka huu 2018 utajiri wake ulifikia $121.7 billion wakati Bill Gates akiwa na $92.5 billion🤑💰

Tazama mambo 10 usiyoyajua kumhusu tajiri huyo
 
daaaah nimejifunza mengi sana hapo. ngoja niendelee Kupambana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…