Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Katika vitu nilikuwa siviwezi mashuleni ni hizo hadithi sijawai kusoma hata moja secondary hapa nimesoma hadi alipokutana na wa missionary nikasikia kichefu chefu ...kwa nini wasiweke hadithi kama za abunuasi mashuleni badala ya huu upumbavu wa Nigeria na mavitabu mengine ya kijinga.
 
"He(Okonkwo)was not afraid of war,he was a man of action...a man of war not like his father who could not stand at the sight of blood.In the latest war of Umuofia Okonkwo was the first to bring human head at home"
 
Ila hii tafasiri ya title imenichekesha sana! Things fall apart ni Mambo huangamia?πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…