Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Wago the leopard killer. Kweli alikuwa na roho mbaya.
The beautiful are not yet born
Thanx mkuuThe beautiful are not yet born
Jiwe uyo na watumishiBaba yake Okonkwo alikuwa mla madeni hodari pale kijijini kama unamdai hela ndogo halafu ukaenda kumdai anakuambia
"The sun rises first to the standing ones then to the sitting ones"
kwa hiyo lazima usubiri awalipe wanaomdai madeni makubwa halafu ndo na wewe utalipwa.
hadi anakufa alikuwa anadaiwa na umati wa wanakijiji.
Mwenye PDF ya ''You Can Work Your Own Miracles''-Napoleon Hill,,,au yoyote ya Robert Kopmeyer
Armando Emilio GuebuzaYour pain
Yet more my pain
Shall sufocate oppression
Your scar yet more my scars
Shall remembering the whip
Your blood yet more my blood
Shall irrigate out victory
Hili poem kaandika nan?
Na linaitwaje nimelishalisahau
Shetani Msalabani siohuyu ni Ngugi wa thiongo kwenye kitabu cha DEVIL ON THE CROSS
Yeah si yule jamaa aliyekuwa prezidaa wa Mozambique sioArmando Emilio Guebuza
Song of Malaya and song of PrisonerView attachment 933121 hiki kitabu huwa nakitafuta sana baadhi ya pages zimechanika, kina mashairi mazuri sana ila uandishi wake umekaa kama matusi flan hivi, nilikiokota hata jina sijui kinaitwaje
The great ponds novel moja saf sanNi Elechi Amadi, the Concubine kinatia huruma sana.
Mimi kwa Elechi nakielewa sana The Great Ponds.
Uko vzr mkalihuyu ni Ngugi wa thiongo kwenye kitabu cha DEVIL ON THE CROSS
Mambo huenda kombo ama kupalaganyikaMambo upalaganyika.