mambo hayo

Huyo mdada mwenye khanga moja ni mrembo wa umbo na anavutia, tena inaonekana yupo maeneo ya hostel aidha sekondary au vyuo maana dabo deka inasomeka hapo. Kama ni yeye binafsi amejito akwenye mitandao ya jamii basi haidhuru atakuwa na yake kichwani ila kama yeye amepigwa picha bila kujua na imerushwa bila ridhaa yake kweli si sawa maana hapo mtu anayemfahamu lazima akiioona hii picha atamjua tuu, la boyfriend au mumewe akiiona hii picha lazima amjue tuu, maana sehemu ya uso inonekana japo ni nyusi na hayo makwapa na mapaja yanatosha sana kumtambua mtu.
Halafu si sawa kumrusha mtu namna hiyo kwa mtazamo wangu sijui kama wengine wanaona nionacho mimi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…