Nisaidie kujibu hy maswali: 1.Km elimu ni ufunguo wa maisha kitasa chake ni kipi? 2.km majuto ni mjukuu baba yake ni nani? 3.Aliye juu mngoje chini atakae mshusha nani? 4.Polepole ndio mwendo speed 140 kwenye magari za nini? 5.Kama mtu mzima dawa hospitali za nini? Naombeni majibu ya maswali haya!