Mambo hadharani

Chemagati

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
214
284
Nilipogundua jamaa Yangu mmoja ambaye tulikuwa na urafiki pia met wangu kikazi alikuwa ananizunguka nikiwa sipo anaongea vibaya kuhusu Mimi na tuliyopanga wakati wa mikakati atekelezi nilianza kupunguza ukaribu hatimae saiz tupo mbali sana na matendo yake nayaona wazi, marafiki wanapogeuka kuwa maadui ni hatari sana. Mambo yote hadharani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom