Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,966
- 14,471
Wakuu,
Mambo gani yanakufanya uwe na marafiki wengi??
Kwangu mimi ni ucheshi wangu,kila niendako napata marafiki kutokana na uongeaji wangu na kujichanganya na watu.
Wakati mwingine napata marafiki wengi kutokana na safari zangu zisizokwisha, kila mahali kuna marafiki.
Wewe ni mambo gani yanakufanya uwe na marafiki wengi?