Mambo gani unamfanyia mpenzi wako ili asikukimbie?

Hello guys,

Ni kitu gani unapenda kumfanyia mpenzi wako ili aweze kufurahi na kujiona wa thamani kwako.
 
Mimi Nikimpata Nitampenda as if nimetabiriwa kesho ndo siku yangu ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…