Mambo gani tena haya kina dada, khaaa???

kwani kuna nini?mbona sioni kitu cha kushangaza???????
 
mbona yuko ok tu, tena amependeza sana na hiyo cheni. Anahamsishaaaaaaaa!
 
Ngoshwe uko kwenye bia ya ngapi hapo kaunta ? asante kwa kutuletea binti mrembo wa kitanzagiza tena mwenye rangi ya asili LAKINI hapo hamna kosa,kavaa vizuri kwa umri wake kwa kifupi nampa 7 kati ya 10.
 
kwani kuna nini?mbona sioni kitu cha kushangaza???????
Umeongea mkuu.
Hakuna jipya hapo dada wa watu amependeza na anacheka. Asingependeza ooh mbaya. Kwanza huyo alieweka hii picha amemwomba ruksa dada wa watu? Otherwise ni violation of privacy
 
dada wa watu kaumbika bwana!pozi tu lenyewe mweee!
 
Mtoto ana mvuto san huyu!
Nic pic n nic pose!
 
sasa weeeewe ngoshwe..kilichokushangaza ni huo uzi...au umeamua kumwagia radhi dada wa watu humu jamvini....mie mbona naiona sawa tu...tena kajisitiri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…