Fanya kunipasia huo uziKuna ulimwengu mwingne watu ambao walishaaga dunia wanaishi mfano unakuta mtu kama karukwa na akili anazungumzia kuwaona marehem nduguze pia kuna shuhuda humu zmo kuonyesha ipo sehemu raia wanaish maisha kama ya hapa dunian kuna majumba, usafiri nk.