Mambo 8 kuhusu USINGIZI yanaweza kukushutua Kidogo

Mambo 8 kuhusu USINGIZI yanaweza kukushutua Kidogo

kuna dawa inaitwa PHERNOBABITOL na VALLIUM .
NB.Matumiz ya dawa hizi kwa muda mwingi yatakufanya uwe addicted .Plse use at once then rekebisha time table yako na life style ili upate usingizi wa kutosha.
Sawa, will try that.
 
Nadhani hio fact namba tano ina ukweli asilimia mia moja, si unakumbuka Yule Jamaa aliyesema alikua akilala Saa nane Usiku akitafuta viranja akaishia kufanya double posting kwa mtu mmoja? Hivi alikua anaitwa nani vile??
 
Mkuu me nafanya kazi kama Mzungu.
Kazi zangu zinaanza saa 1 asubuhi mpk saa 1 au 2 usiku.
Hata nikichoka vipi, silali.
Duu!! Hongera kwa utumishi mwema na pole kwa kukosa usinginzi. Hatua ya awali hapo ni kuwaona wataalam wa afya (specialists), Katika hali ya kawaida schedule yako ulipaswa kuwa na mapumziko mazuri tu.
 
Namba moja si kweli ,kama yeye kavunja rekodi kwa kutosinzia kwa siku 11 basi Mimi nimekata rekodi kwa kutosinzia mwezi mmoja na wiki moja , ila niliexperience baadhi ya tabia kiasi kwmba nilionekana kama chizi hivyo nikapelekwa hospital nikapigwa nusu kaputi nikasinzia siku tatu mfululizo.
Wiki 6 za depo la kuruta
 
Hiyo namba 8. kuna mdau humu alichangia kwenye uzi unaohusu ndoto (Uzi ulikua kwenye jukwaa la intelligence). alisema kwa kawaida binadamu anaota ndoto zaidi ya elfu moja(kwa siku) lakini ana asilimia tano tu (5%) ya kukumbuka ndoto zote. lakini kwenye namba 8 umesema kawaida mtu anaota Mara 3 au 4 Hii imekaaje?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom