MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,768
- 5,635
- Thread starter
- #21
waje watueleze huwa wanafanyaje, maana hii ni researched fact, Na tunaposema kulala tunamaanisha hata kufumba kope kwa sekunde mbili.Kuna jamaa alienda guiness book of records kudai kuwa hakuwahi kulala siku 40, walimkatalia maana ilikuwa ni vigumu kuthibitishwa.Jeshini tunakesha wiki 6 bila kulala hiyo namba moja vipi
Pia kuna kitu kinaitwa microsleep ambacho kuwa tunakipotezea kudhani haujalala.
Kuna disorder pia Fatal Familiar Insomnia ambayo kuna watu walikaa hadi miezi 30 ndio wakafa, lakini sio katk mazingira ya kawaida.
Hiyo kuhusu wanajeshi waseme wenyewe kama sio kinyume na maadili yao, Lakini ninachojua hata NAVY SEAL na ubora wao wote Wanakitu kinaitwa HELL WEEK ambapo wanakaa bila kulala mfululizo SIKU TANO wakiwa sheduled na mazoezi mazito mno. Hiyo ni nje ya Siku 42 ambapo huwa kuna muda wanaiba kidogo na kusinzia hata dakika 30 au Saa.
Hapa tunazungumzia KUTOKUSINZIA KABISA TENA BILA KUWA NA EXTERNAL INFLUENCE