Mambo 8 kuhusu USINGIZI yanaweza kukushutua Kidogo

Mambo 8 kuhusu USINGIZI yanaweza kukushutua Kidogo

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,768
Reaction score
5,635
randy2.jpg

1:Kuna uwezekano mtu akakaa hadi miezi 2 bila kula lakini Muda mrefu ambao mtu amewahi kukaa bila kusinzia nahajatumia dawa yoyote ni SIKU 11,
Randy Gardner (record holder) - Wikipedia, the free encyclopedia. Bwana mdogo hapo juu anashikilia hiyo record.

depression2.jpg

2:Kulala chini ya masaa 6/7 kila usiku kwa mfululizo, ukna punguza LIFE EXPECTANCY.
Source:Long sleep + depression link | Page 1 - Medical News Today opinions

Knocker-up.jpg
images

3:Kabla ya ALARM CLOCK kuvumbuliwa, kulikwa kuna watu maalumu wameajiliwa kwa ajili ya kuamsha watu. Tumetoka mbali.Knocker-up - Wikipedia, la enciclopedia libre

snail.jpg

4:Konokono anaweza kulala hadi kwa muda wa miaka 3.
The reality is Absurd !: Snails Can Sleep for 3 Years

5:Kumbukumbu inakuwa vizuri sana pale mtu anapokuwa na usingizi wa kutosha. Kupoteza kumbukumbu na kuwa na tabia za ajabuajabu zinahusianishwa pia na ukosefu wa usingizi wa kutosha.http://phys.org/news/2011-01-memories.html

atchison-CU-photo.jpg

6:Mwaka 1849 David Atchson alikuwa rais wa marekani kwa muda wa siku MOja. Na alitumia Muda Mwingi akiwa amelala.Amazon product ASIN 0393241033
upload_2016-9-9_19-16-46.jpeg

7:Katika WW1, mwanajeshi mmoja wa Hungary alipigwa risasi ya kichwa ikaharibu sehemu yake ya ubongo inayoshughulika na Usinginzi. Aliishi maisha yake yaliyobaki bila kulala .
A SERIOUS CHARGE. - ACCUSED COMMITTED FOR TRIAL. - The West Australian (Perth, WA : 1879 - 1954) - 21 Jan 1897

8:Msongo wa mawazo unaweza kukusababisha kuota zaidi ya mara 3 nadi 4 usiku mmoja zaidi ya ambayo ni kawaida.

Karibuni, kupanua maarifa wanaJF
 
ahsante kwa fact hizo khs usingizi.mm mpk mda huu imekua siku ya 6 sipati usingizi kabisa,nadhani ntavunja record ya huyo bwana hapo juu
 
kusinzia ndio pumziko langu la kwanza ninaloliheshimu! lkn tatizo langu kupata usingizi mchana ndo kasheshe!
 
kulala lala ovyo ili nalo uwa ni tatizo? au afya
Kulala lala ovyo ni tatizo la kutokupata usingizi wakati ulipotakiwa kulala. Ukigoma kulala kwa wakati lazima utalipa tu uo usingizi.

Inashauriwa ni bora sana Mtu kulala hata saa tatu na akamaamka Saa Kumi Usiku, kuliko aliyelala Saa Sita Hadi Saa Sita Mchana. Usingizi Mzuri wa wakati ni Ufagio Bora wa Kusafisha Ubongo wako. Ukifuata kanuni hii ya kulala kwa wakati, huwezi ukawa unasinziasinzia ovyo vinginevyo uwe mgonjwa.
 
Namba moja si kweli ,kama yeye kavunja rekodi kwa kutosinzia kwa siku 11 basi Mimi nimekata rekodi kwa kutosinzia mwezi mmoja na wiki moja , ila niliexperience baadhi ya tabia kiasi kwmba nilionekana kama chizi hivyo nikapelekwa hospital nikapigwa nusu kaputi nikasinzia siku tatu mfululizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom