mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,758
Hakuna mtu ambae atakuja kuishi maisha yako kama usipoyajali sasa.Umri kabla haujaoa ni umrifursa...
1:Kwa wale waamini Mungu, ni kipindi cha kujifunza kwa kina na Mambo ya Mungu ili kukuandaa kwa ajili ya changamoto maishani hapo baadae. Maandiko yanasema "Lakini wale wamjuao Mungu watakuwa hodari na watafanya mambo makuu"
2:Ni kipindi cha kuchagua role model/Mentor wako katika mambo unayoyapenda.
watu wengi maisha Yetu yamekuwa yakurukaruka bila mwelekeo wa maana kama popcon jikoni kwa sababu hatujui tunakwenda na tunatoka wapi.
3:Ni wakati wa kuweka mawazo na ideas zako katika vitendo. jaribu vitu vingi kadili uwezavyo, endeleza vipaji vyako huu ndio muda muafaka sio muda wa kutangatanga bila muelekeo au kuburuzwa na makundi rika.
4:Ni kipindi cha kujenga tabia na mwelekeo wa maisha.Ni muda wa kuchagua LIFESTYLE yako.
5:Ni kipindi cha kujifunza jinsi ya kufanya maamuzi sahihi. Maamuzi yako ndio maisha yako.
6:Ni kipindi cha kuanza kujifunza kuwajibika na kupambana na changamoto.Kumbuka kile ambacho hutaweza kukitakua ukiwa kama SINGLE utakutana nacho pia kwenye ndoa wakati mwingine.
7:Ni kipindi cha kuijifunza jinsi na jinsia tofauti na wewe. una maarifa kiasi gani kuhusu jinsi na jinsia tofauti itakusaidia kupunguza migogoro isiyo ya lazima ktk maisha.
na,
MITALE NA MIDIMU
PROJECT 7777777