Milion 100 hapana mkuu
Nanjilinji ni kijiji kilichopo wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi yafuatayo ni maajabu 5 ya kijiji hiki; 1. Nanjilinji ni kijiji cha msimu hutokea wakati wa mavuno tu 2.Nanjilinji wakazi wake ni wafanyabiashara tu 3. Wafanyabiashara hupeleka mpaka unga wa sembe tani 70 kwa mwaka na yote huisha kijijini hapo 4. Watu wa kijiji hiko huweka mpaka milioni 100 ndani ya nyumba bila kupeleka benki 5. Ni kijiji kinachotajwa mara nyingi zaidi na watu, kinatajwa zaidi ya mara laki tano kwa siku katika mazungumzo ya kawaida.
Nanjilinji iko wilaya ya Kilwa, mkoa wa Lindi na siyo Ruangwa. Pia ni kijiji cha kudumu na siyo cha msimu, hakiki taarifa kabla ya kuzitoa.Nanjilinji ni kijiji kilichopo wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi yafuatayo ni maajabu 5 ya kijiji hiki; 1. Nanjilinji ni kijiji cha msimu hutokea wakati wa mavuno tu 2.Nanjilinji wakazi wake ni wafanyabiashara tu 3. Wafanyabiashara hupeleka mpaka unga wa sembe tani 70 kwa mwaka na yote huisha kijijini hapo 4. Watu wa kijiji hiko huweka mpaka milioni 100 ndani ya nyumba bila kupeleka benki 5. Ni kijiji kinachotajwa mara nyingi zaidi na watu, kinatajwa zaidi ya mara laki tano kwa siku katika mazungumzo ya kawaida.
Huiwezi kuitaja nanjilinji bila kumtaja Mzee Mtopa
Shwadaktaaa, hivi huyu mzee bado ni mwenyekiti wa halmashauri ya Kilwa?
Ruangwa si ndo anakotokea mhe. Majaaliwa k. Majaaliwa?
Nanjilinji ni kijiji kilichopo wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi yafuatayo ni maajabu 5 ya kijiji hiki; 1. Nanjilinji ni kijiji cha msimu hutokea wakati wa mavuno tu 2.Nanjilinji wakazi wake ni wafanyabiashara tu 3. Wafanyabiashara hupeleka mpaka unga wa sembe tani 70 kwa mwaka na yote huisha kijijini hapo 4. Watu wa kijiji hiko huweka mpaka milioni 100 ndani ya nyumba bila kupeleka benki 5. Ni kijiji kinachotajwa mara nyingi zaidi na watu, kinatajwa zaidi ya mara laki tano kwa siku katika mazungumzo ya kawaida.
Milion 100 hapana mkuu
Yote sawa ila hapo kwenye milioni 100 siamini kama ni kweli.
acha uongo Nanjilinji haiko wilaya ya RUANGWA duuuh!!