unajua maranyingi watu wapumbavu wasio na hoja huwa siwapendi, ccm wanaogopa kuingiza upinzani maana pesa za kampeni zenyewe ni pesa chafu. wanamadeni nchi za nje ndo maana wanafanya kila liwezekanalo waingie madarakani. hata hizo vita watanzania mtambue kuwa ccm ikishindwa wataleta vita EL aonekane ni kiongozi wa magaidi. waache upumbavu hii nchi sio ya mama zao wala baba zao wala bibi. hii nchi ni mali ya watanzania sio ya ccm na kila mmoja ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwanini ccm wanalazimisha madaraka wananchi tuendelee kuwa kasuku kwenye chama kisichokuwa na vpaumbele vitakavyolikomboa taifa au ndo laana. narudia tena chama cha mapinduzi kwa sasa hakifai tena kina propaganda nyingi utekelezaji zero acheni ujinga hivi nyinyi hamuoni nchi ilipo sasa hivi kila kitu kinaagizwa nje ya nchi. asilimia 85 ya bidhaa tunazotumia zinatoka nje. nauliza nyie ccm je? hatuna aridhi ya viwanda, maligafi, watu, fedha, mazingira rafiki, miundombinu na usimamizi? na kama hivyo vyote vipo nani kashindwa ? kama sio ccm. kuna watu wachache sana wanaojaribu kuleta maendeleo ndani ya ccm lakini kundi chafu na kubwa linawazingira na kuharibu na wao wakichekelea tu wizi unaendelea eti tutaanzisha mahakama ya majizi hivi hizi zilizopo ni za kuhukumu wachungaji au? acheni kutuchezea kwa kutupa kielimu bure mpaku form4 ili mtutawale vizuri kwakuwa uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo na mwaka huu mtapata kura za wajinga wenzenu na majizi na wahuni wenzenu lakini kura za vijana na wasomi wanofanya research hampati. waharibifu wakubwa nyie.