Mambo 20 usiyoyajua juu ya Rais Magufuli

Namba 6 imetokea mwaka gani?
Namba 6 ilitokea 2009 ila mleta mada kaongopa, huyo jamaa alifika shule akakaa siku moja na kusepa wala Magufuli hajamfata wala hakumzuia kuhama, huyo jamaa tulichaguliwa shule moja ila combination yake sikumbuki.
Waulize watu waliokua form five na form six mwaka 2009 enzi za headmaster J.Kaaya.
Second mistress Bilali (jina la utani Bambucha)
 
Dar - Dodoma ni kilometa 400+, Mtu akienda na kurudi mara moja inazidi hizo 670 zako.
So unataka kusema kina JK na Che hawakuwahi kwenda na kurudi kwa gari Dodoma??
Au kila Mkoa walikua wakienda na Ndege hata kwenye mikoa ambayo haina viwanja vya ndege au viwanja vyake ni vibaya??
Vipi Ziara za wiayani huko ukizijumlisha zote??
 
Ile kampuni yake ya usafirishajibona hujaigusia?
Ile record yake ya kutia hasara taifa kuliko maaziri wote wakati wa uongozi wa uwaziri kama vile ;
-kubomoa jengo la mfanyabiashara Mahamoud wa Mwanza na kisha serikali kumlipa bl.14 za Kitanzania
-Kutaifisha samaki wa Wachina na kuiingizia hasara serikali kwa kulipa bil.kadhaa
-kuuza nyumba za serikali kwa nusu ya fedha zilizopigiwa hesabu na pesa zingine kutokomea nazo(ikumbukwe kazi ya uuzaji ilikuwa nu ya TBA lakini akawapoka mamlaka).
-Vipi kuhusu yale maamuzi ya kukurupuka ya kuwafukuza kazi wafanyakazi kadhaa wa TEMESA na walipokata rufaa serikali ikawalipa fedha nyingi?
-Vipi suala la kuvunja sheria na taratibu kwenye uuzaji wa nyumba za serikali kwa kumuuzia kaka yake Musa Magufuli na Mzazi mwenzake Sundi?
Vipi niongeze doze?
 
Mimi najiuliza mbona sasa hivi ameshindwa kubomoa jengo la Tanesco la ubungo? Na la ofisi ya mkuu wa Mkoa wakati kipindi akiwa waziri alisisitiza ni LAZIMA yaondoke maana yapo kwenye hifadhi ya barabara? Hadi akatishia kujiuzulu walipotaka kumuingilia?
 

Umesahau haya mengine.

Magufuli akijamba ushuziwake ni perfume kisha ni dawa ya tumbo.

Magufuli akinya mavi yake marashi kisha ukijipaka mbu hawakuumi.

Zaidi, akikosa kwenda haja siku tatu anakunya almasi.
 
21.Magufuli alipokuwa mtoto alikuwa akigoma kunyonya hata siku nzima kisa mamake kamuudhi. Hii ni kwa mujibu wa mamake mzazi.
 

21. Alifanikiwa kutengeneza wafanyakazi hewa TBA ambao ni ndugu zake akiwemo mtoto mchanga ili wajitwalie nyumba za serikali
 
Umesahau haya mengine.

Magufuli akijamba ushuziwake ni perfume kisha ni dawa ya tumbo.

Magufuli akinya mavi yake marashi kisha ukijipaka mbu hawakuumi.

Zaidi, akikosa kwenda haja siku tatu anakunya almasi.
Huu ni uchochezi sasa!
 
Mupe mupe mupemupemupe!
 
Umesahau haya mengine.

Magufuli akijamba ushuziwake ni perfume kisha ni dawa ya tumbo.

Magufuli akinya mavi yake marashi kisha ukijipaka mbu hawakuumi.

Zaidi, akikosa kwenda haja siku tatu anakunya almasi.
Ndugu yangu utapewa kesi ya kutakatisha mpunga maana hii ndiyo fashion ya awmu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…