Mambo 20 usiyoyajua juu ya Rais Magufuli

Ukikiona cha nini..wenzako wanasema watakipata lini. Number 14.
 
Magufuli alimhonga hawara nyumba za serikali au aaingiziwa?

Magufuli alinunua MV dar bomu au asingiziwa?

Magufuli kanunua ndege bomu au kasingiziwa?

Magufuli alishindwa na Lowassa au Lowassa mwongo?

Magufuli kazaa na shemeji yake au kasingiziwa?

Magufuli hafuati sheria au anasingiziwa?

Jibu haya ndiyo tuelewe uko makini
 
Hiyo no 20 ya kupendana kutumia lugha ya Kiswahili, kwani ana option nyingine?
 
Na. 63... Magufuli ndiye Rais mbaguzi zaidi duniani asiyeamini kama watoto wa kike wana haki ya kupata elimu kama raia wengine!

64. Ndiye Rais pekee duniani anayeongea Kiingereza kibovu pamoja na kusoma kwa lugha hiyo ya Malkia hadi ngazi ya PhD
 
Dpgo unafanya mchezo kutoka Dar mpaka Butiama?
kasome tena Azimio la Musoma ni kilomita 110
 
Da,
We jamaa ni SHIDA. Yaani kama we unayajua basi unajuaje kua sie hatuyajui??
We Umeyajulia wapi mpaka udhani si hatuwezi kujua huko ulikojulia wewe??
 
namba 2,4,5,yote uongo
namba 7 labda kama ana imani za kishirikina
namba 20,na 14 zote pia uongo
namba 12 ni ngumu kuthibitisha maana huwa wanapewa hela sio magari
 
Namba 6 imetokea mwaka gani?
 
Hiyo namba sita umesema uongo, huyo kijana alifika Minaki na kuondoka baada ya siku moja na hakusoma Minaki tena nawala hakurudi alifatwa na mgari wa maana.
Ilikua 2009 alikua kachaguliwa kidato cha Tano sikumbuki combination yake but tulichaguliwa shule moja.

Uongo mwingine acheni sio kila jambo hatulijui
 
Magufuli hapangiwi hata na katiba hajali mropokaji mkurupukaji na hashauriwi ni dikteta uchwara kiuhalisia kwa haya hana mshindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…