Mambo 12 ya kushangaza humu duniani

Mambo 12 ya kushangaza humu duniani

Mkuu hiyo no 9 wamejuaje kama wameshindwa kuzifikia
namba 7 pia mkuu km inachukua miaka 5000 kufika kifaa gani kilifika kugundua hayo na lini ikiwa ndo kwanza tuna miaka 2000 now inamaana walienda huko kabla kristo au edhi za nabii musa ama !!
ufafanuzi wa kina unahitajika
 
9)Kwa mujibu wa wanasansi zipo sayari billion wanaishi binadam tofauti na sisi shida ni kuzifikia


Inawezekana tunamsubiri Bwana Yesu kwa muda mrefu kumbe yupo kwenye hizo sayari zingine
 
Nani amepika hizidata
10. Gharika ya Nuhu ilileta hasara ya Euro mil 800
 
namba 7 pia mkuu km inachukua miaka 5000 kufika kifaa gani kilifika kugundua hayo na lini ikiwa ndo kwanza tuna miaka 2000 now inamaana walienda huko kabla kristo au edhi za nabii musa ama !!
ufafanuzi wa kina unahitajika


Hapo Kiongozi ni kuwa kama watasafiri kuifuata sayari iyo watafika after 5000 kwa msaada wa Allies yani wakitoka watafika Mwaka 7018 utakuwepo wapi wewe
 
#14 na 15 ni uongo

Rudi juu ukaisome, yaweza kuwa hata huu mchango ni uongo pia
 
Hata Cleopatra alikuwa ni m/ke mzuri sana,historia inaeleza kuwa hajatokea kama yeye bado
 
Namb 12 futa neno displacement weka distance, unajua maana ya displacement? Yaan hapo nyuma ushataja direction halaf mbele unasema sio displacement?
Simple fm 1/2 physics.
 
Back
Top Bottom