Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 538
Mambo wadau
Nimuhimu ukajua siri au ukweli wa vitu duniani
1) Utajiri aliokuwa nao Suleiman's ni sawa na utajiri wa matajiri 7 duniani hivi Leo
2)Kama tungekuwa tunaishi sayari ya Jupiter's kubwa kuliko zote basi kila mtu duniani angekuwa na eneo kubwa kama bara la Africa
3) Jeshi la Misri zamani za farao ndio lilikuwa na uwezo wa kuvamia dunia nzima kipindi kile
4)Nguvu za Samson's kwa ulimwengu huu hajawai kutokea alikuwa na uwezo wa kubeba tan 600 (kg 600,000)
Bado sijamaliza
5)Plato ndie aliepangilia elimu na ngazi zake duniani kindagaten hadi Chuo kikuu hapo vipi
6)Dunia tunayoshi ilikuwa na bars moja miaka mabillions bara liliitwa Pangea
7)Klper ni sayari iliofanana na dunia kila kitu
Kuna maji oxygen grav force 9.8 m/s²
Iko mbali kiasi kwamba ukitumia speed light 300,000km/s utatumia miaka 5000 kwa msaada wa Allies kwa wanadamu wetu ni miaka 176,000
8)Inavyosemekana sayari kongwe kuliko zote ni Neptune
9)Kwa mujibu wa wanasansi zipo sayari billion wanaishi binadam tofauti na sisi shida ni kuzifikia
10)Gharika ya Nuhu ilileta hasara ya Euro mil 800
11)Inavyosemeka kuwa Saleman ndie MTU alie na akili zaidi waliopata kuishi duniani hapa
12)Ikiwa Israel wangenyoosha njia (direction) sio displacement wanefika Israel kwa siku 4 tu sio miaka 40
Hizi ni takwimu za uhakika na ukweli asanteni