Mambo 10 ya kisayansi yanayothibitisha kuwa VVU sio chanzo UKIMWI

Je wazungu wanatumia arv? na wanatumia kama sisi kila siku.je kuna wahudumu hutokea kuambukizwa bhati mbaya hupata vvu?

Kuhusu kuzitumia wengi wanazitumia kwa kuhofia kufa kama ambavyo promoters wa hizi dawa walivyowaaminisha watu. Kuhusu wazungu kutumia ARV wapo wanaozitumia sababu hizi dawa zilianzia huko huko nchi za magharibi hususani amerika, kuna dawa zilikuwa zinaitwa AZT ni mfano wa ARV tu. Hizi dawa scientist wengi wakubwa walitoa maonyo mengi kuhusu matumizi yake, kwa maana kwamba zilikuwa ziki suppress kinga ya mwili na kusababisha ukimwi kwa watu ambao walikuwa na afya.

Hizo AZT zilitengenezwa kwa ajili ya kutibu kansa, zilipogundulika kuwa zina sumu kali zikazuiwa kutumika. Lakini kitu cha ajabu zaidi baada ya kusemekana HIV inasababisha UKIMWI, zikatolewa store na kuanza kuwa supplied. Inaamaana watu walikuwa kibiashara zaidi kuliko ku solve tatizo.

Kuhusu upande wa dose kwa wazungu sijui wanatumiaje, ila nadhani kipimo chake kitakuwa kinatokana CD4 count.

Kuhusu wahudumu kuambukizwa inaweza ikatokea but hiyo njia sio efficient, kwa maana kwamba possibility kubwa ya vvu kuwa transmitted ni kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (Perinatal Transmission).
 
Heri humu ndani angalau vitu vinajadiliwa kisomi,nimejaribu kuwauliza the same topic watu katika groups za whatsapp nimeishia kuwa discouraged na kutukanwa kuwa nina ngoma na ninatumia hiyo mbinu kuusambaza kwa watu,ikafika muda mtu anasema subiri uukwae ndo utajua UKIMWI ni fake au lah.

Ila wengine licha ya kuwa wana taaluma ya utabibu walijibu too local,yaani wamejibu kama wafuasi wa kibwetere majibu yao yamebase katika imani na siyo sayansi.K
Aisee ukimwi afrika ni DINI
 
Heri humu ndani angalau vitu vinajadiliwa kisomi,nimejaribu kuwauliza the same topic watu katika groups za whatsapp nimeishia kuwa discouraged na kutukanwa kuwa nina ngoma na ninatumia hiyo mbinu kuusambaza kwa watu,ikafika muda mtu anasema subiri uukwae ndo utajua UKIMWI ni fake au lah.Ila wengine licha ya kuwa wana taaluma ya utabibu walijibu too local,yaani wamejibu kama wafuasi wa kibwetere majibu yao yamebase katika imani na siyo sayansi.K
Aisee ukimwi afrika ni DINI

Ha ha kweli ni dini ila mie nime convert saizi sina wasiwasi na HIV /AIDS hasa kwenye ngono

Kwanza najua ukimwi unapona, tangu nimsikie yule mfaransa aliegundua kirusi hiki akikiri kwa kinywa chake AIDS inaponeka nikawa na mtazamo mpya.
 
Unajua kitu ambacho kinanishangaza ni kwamba hata watu wengi walio kwenye taaluma ya utabibu hawafahamu historia ya huu ugonjwa. Na kibaya zaidi hawa watu hawasomi na kufatilia mambo katika huu ulimwengu ambayo yanahusiana na field au proffessional yao. Hii inatisha sana.
 
Sasa hio protein inafanya uonekane uko hiv positive inaondolewaje kwa mwili???
 
Unajua kitu ambacho kinanishangaza ni kwamba hata watu wengi walio kwenye taaluma ya utabibu hawafahamu historia ya huu ugonjwa. Na kibaya zaidi hawa watu hawasomi na kufatilia mambo katika huu ulimwengu ambayo yanahusiana na field au proffessional yao. Hii inatisha sana.

hayo unayosema unaweza kuthibitisha ukienda maabala achana na habari za udaku vipimo vina pima HIV mwenyewe na viral genetic material pia hiyo protein ya kuonesha kuwa ni HIV positive inaitwaje na inatoka wapi?
 
Heri humu ndani angalau vitu vinajadiliwa kisomi,nimejaribu kuwauliza the same topic watu katika groups za whatsapp nimeishia kuwa discouraged na kutukanwa kuwa nina ngoma na ninatumia hiyo mbinu kuusambaza kwa watu,ikafika muda mtu anasema subiri uukwae ndo utajua UKIMWI ni fake au lah.Ila wengine licha ya kuwa wana taaluma ya utabibu walijibu too local,yaani wamejibu kama wafuasi wa kibwetere majibu yao yamebase katika imani na siyo sayansi.K
Aisee ukimwi afrika ni DINI

wamekujibu hivyo sababu hao wanaosema hivyo ukienda maabala hawawezi kuthibitisha hii watu wanajipa moyo
 
hayo unayosema unaweza kuthibitisha ukienda maabala achana na habari za udaku vipimo vina pima HIV mwenyewe na viral genetic material pia hiyo protein ya kuonesha kuwa ni HIV positive inaitwaje na inatoka wapi?

Sio kazi yangu kuthibitisha, scientists wameshathibitisha Mkuu. Weka facts ulizonazo mezani sio conclude tu kwamba ni udaku. Au kwasababu wewe ni mmoja wa medical expert mnaotumika kwa maslahi???
 
wamekujibu hivyo sababu hao wanaosema hivyo ukienda maabala hawawezi kuthibitisha hii watu wanajipa moyo

Hawawezi kuthibitisha sababu si kazi yao kuthibitisha. Scientist wenye CV kubwa kwenye huu ulimwengu washathibitisha tayari underground....bado mainstream tu.
 
WHO wamekuja na mpango wa kuanza kutumia dawa za ARVs mara tu unapokutwa na AIDS nadhani hii ni moja kati ya njia zao za kukuza zaidi biashara ya ARVs
 
Ha ha kweli ni dini ila mie nime convert saizi sina wasiwasi na HIV /AIDS hasa kwenye ngono

Kwanza najua ukimwi unapona, tangu nimsikie yule mfaransa aliegundua kirusi hiki akikiri kwa kinywa chake AIDS inaponeka nikawa na mtazamo mpya.
Mwamba kumbe ulishamuangalia yule bingwa. Mimi mwenyewe siku hizi najidunga lishe tu mara kwa mara.
Ile clip ilinipa ujasiri kiasi siogopi Sana HIV Kama zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WHO wamekuja na mpango wa kuanza kutumia dawa za ARVs mara tu unapokutwa na AIDS nadhani hii ni moja kati ya njia zao za kukuza zaidi biashara ya ARVs

Ni hatari sana. Kwa mujibu wa data zilizowasilishwa katika AIDS Conference iliyofanyika Barcelona, Spain mwaka 2002 pamoja na scientific study ambayo ilichapishwa katika jarida la Acquired Immune Deficiency Syndrome desemba mwaka 2003, watu wengi ambao wanatest HIV positive wanakufa kwa organ zao muhimu katika mwili kufeli ikiwa ni matokeo ya side effects ya ARV’s kuliko hata wanavyokufa kwa ukimwi wenyewe. Yaan kwa maana ya kwamba watu wengi wanaopima na kukutwa positive wanakufa sana kutokana na side effects zinazotokana na matumizi ya ARVS kuliko athari ya ukimwi wenyewe. Hii tafsiri yake ni kwamba ARV’s ni more dangerous than HIV itself. Pitia hapa http://livingwithouthivdrugs.com/riesler.pdf
 
Back
Top Bottom