marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,092
- 1,917
1: Siku kubwa. Matukio makubwa. Mechi kubwa
Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa
2: Diamond Platinumz
Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge la Show
Energy ya kutosha... Si wasanii wote wenye uwezo wa kuwafanya watu zaidi ya 50,000 wacheza kwa pamoja
3: Larry Bwalya..NAAAM
WHAT A PLAYER! Anapokea, anatoa! Kama mkata Tiketi wa kwenye mwendo kasi
Mchezaji wa malengo makubwa. Top Class
Tumsubiri Mkwakwani sasa
4: Ibrahim Ame
Macho ya wengi yalikuwa kwa Onyango, akapata nafasi ya kucheza bila presha na kuonyesha kwanini mpaka sasa ni ngumu kwa Juma Mgunda kutaja nani ni bora kati yake na Mwamnyeto
5: Mugalu.. 'The Animal'
Nimependa anavyokaa kwenye nafasi katika eneo la mwisho. Kasi, nguvu ni miongoni mwa silaha zake muhimu uwanjani. Bado nahitaji kumuona Tena kujiridhisha kwenye 'art yake ya umaliziaji'
6: Sven Vanderbroek
Amejaribu kikosi na kujiweka Majaribuni. VITAL 'O amekufa 6, Luis Miquissone akiwa Honeymoon
Kuna quality nyingi kwenye kikosi cha Simba. Kazi ni kubwa kwa Sven kupata balance ya Timu yake kiufundi
7: Benard Morrison.. BANIANI MBAYA, MWENYE DAWA KWENYE KIATU CHAKE
Naelewa kwanini Yanga wamechagua kwenda FIFA kudai haki yao
8: Asante AJIB
Katikati ya Bwalya na Chama, unampata kijana wa Kitanzania aliyesimama kutoa burudani. Uamuzi wa kipaji chake bado uko kwake
9: Mo Dewji
Bilionea mwenye wazimu wa soka! Nilipenda alivyokuwa 'active' katika Kila Tukio kiwanjani.
10: Zile nafasi tupu majukwaa ni tafsiri kuwa Simba walifanya 'promotion ya mazoea'. Ilihitajika pia tathimini ya kina juu ya Viingilio kama ni rafiki kwa wakati Tulionao
Nb: Kama wale wabovu, Ombeni mechi
Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa2: Diamond Platinumz
Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge la Show
Energy ya kutosha... Si wasanii wote wenye uwezo wa kuwafanya watu zaidi ya 50,000 wacheza kwa pamoja3: Larry Bwalya..NAAAM
WHAT A PLAYER! Anapokea, anatoa! Kama mkata Tiketi wa kwenye mwendo kasi
Mchezaji wa malengo makubwa. Top Class
Tumsubiri Mkwakwani sasa4: Ibrahim Ame
Macho ya wengi yalikuwa kwa Onyango, akapata nafasi ya kucheza bila presha na kuonyesha kwanini mpaka sasa ni ngumu kwa Juma Mgunda kutaja nani ni bora kati yake na Mwamnyeto5: Mugalu.. 'The Animal'
Nimependa anavyokaa kwenye nafasi katika eneo la mwisho. Kasi, nguvu ni miongoni mwa silaha zake muhimu uwanjani. Bado nahitaji kumuona Tena kujiridhisha kwenye 'art yake ya umaliziaji'6: Sven Vanderbroek
Amejaribu kikosi na kujiweka Majaribuni. VITAL 'O amekufa 6, Luis Miquissone akiwa Honeymoon
Kuna quality nyingi kwenye kikosi cha Simba. Kazi ni kubwa kwa Sven kupata balance ya Timu yake kiufundi7: Benard Morrison.. BANIANI MBAYA, MWENYE DAWA KWENYE KIATU CHAKE
Naelewa kwanini Yanga wamechagua kwenda FIFA kudai haki yao8: Asante AJIB
Katikati ya Bwalya na Chama, unampata kijana wa Kitanzania aliyesimama kutoa burudani. Uamuzi wa kipaji chake bado uko kwake9: Mo Dewji
Bilionea mwenye wazimu wa soka! Nilipenda alivyokuwa 'active' katika Kila Tukio kiwanjani.10: Zile nafasi tupu majukwaa ni tafsiri kuwa Simba walifanya 'promotion ya mazoea'. Ilihitajika pia tathimini ya kina juu ya Viingilio kama ni rafiki kwa wakati Tulionao
Nb: Kama wale wabovu, Ombeni mechi

