The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
- Thread starter
-
- #21
nadhani tumekosa hoja!hata kiswahili ni international language ina maana mama salma hajui kiswahili??! Do not hate the player hate the game!!!!!!
Naunga mkono hoja mkuu! Senkyu.jamani kujua kingereza si hoja. sio lazima akijue. cha msingi ni kuwa angejipanga kuwa walau na mkalimani ili amsaidie kufuatilia kiendeleacho. sio first ladies wote wanajua kingereza na sio lazima wakijue. ntafurahi hata ukiwa unakijua kingereza ukaongea kwa lugha ya nchini mwako. ingawa magamba siwapendi but sioni fahari kujua kingereza na kudharau lugha yangu ya kiswahili.
Uliyeleta mada unajuwa Kiingereza? naku challenge hukijui.
ni kazi kweli kuanzia wao mpka msafara wao...hahahaaa, hii kali sana!! teh teheeeeeeeeeee
Form 4 za zamani ndo za ukweli wazee wetu wa zamani walifundishwa na wazungu sasa sijui huyu mamaatajulia wapi??? Na yeye kaform4 kazamani..
nadhani ww ubongo wako ndo umechotwa..icho kikristu ulichokiandika inaonyesha na ww unakitukuza bila kujua!!!if she can't speak english,is it a crime? as long as she can speak her mother tongue it's ok and better, what about the british and americans who can't speak kiswahili! why does it not look strange to you? U R completely brainwashed, do you think it's proper to glorify other languages and despising ur mother tongue!?
Hahahahahahahah KM umenichekesha saaana, hahahahah yeye anatuonyesha kuwa angekuwa mkalimani wa 4th Lady hahahah. Njileekaaa monowama, apaaa wandeeenadhani ww ubongo wako ndo umechotwa..icho kikristu ulichokiandika inaonyesha na ww unakitukuza bila kujua!!!
Tena kakuchakachua.atajulia wapi??? Na yeye kaform4 kazamani..
Kama hajui lugha ilibidi atembee na translator. Kingereza ni lugha ya kiofisi kwa huku kwetu sasa hao aliokua nao hakuna hata mmoja ambae angeweza kumtafsiria? Au mama hakutaka aonekane kuwa hajui kilugha?
hapo umenena mkuu kwani kikubwa ni maarifa kichwani na si kiingereza, kama kingereza cha maana mpaka sasa kimetusaidia nini kama taifa na jamii ya watanzania kwa ujumla? Zaidi ya kutujazia wajinga wengi kama waliomo humu ndani ya jamii forum mchana kutwa kukosoa na kuleta mada zisizo na kichwa wala miguu! Pumbaf!nadhani tumekosa hoja!hata kiswahili ni international language ina maana mama salma hajui kiswahili??! Do not hate the player hate the game!!!!!!
Ni kweli ni mwalimu wa UPE, std7 leaver, katufundisha wengine tuko humu jamvini tunashiriki midahalo; tusisahau tulikopitia.
mwalimu