Mama yetu anang'aa na kupendeza

Mama yetu anang'aa na kupendeza

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,745
Reaction score
7,266
15.jpg

Makamu wetu Mama Samia anapendeza sana na kung'aa. Kila la kheri Mama yetu katika majukumu yako.
 
Lazima ang'ae anapigwa na kiyoyozi!..
Kabisa, kiyoyozi ndio maana na mikono yao inakuwa laini kama ya watoto. Ila ni lazima wawe katika mazingira mazuri maana kuongoza nchi si mchezo. Si uhuwa unamsikia mkuu anatamani amalize hata kesho, yule mtaafu naye alishukuru sana kumaliza mda wake.
 
Sio kweli
 
Lazima angae maana ameshatoka mara kadha kwenda kwa wadhungu.
 
Back
Top Bottom