Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

mda mwingine inabidi umuelewe tu baba kwanini aliachana na mama.. maana hata wewe yanayokutokea unayaona.
Rahisi Kwa Baba na Mama kuachana, si walikutana njiani tu siku moja, je mtoto waliyemleta bila ya wao kujuana vizuri, wanamnasua aje kutokana na makosa yao?
 
Waachen wafu wazike wafu wao. Bro huwez kuwa na huruma kuliko Mungu. Funga vioo komaa na famíliayako
 
Back
Top Bottom