Mama yangu adui yangu

Mzizi Mkavu safi sana mkuu mkuu kwa hadithi yako nilishawahi ione kwenye magazeti pendwa lakini niliipuuzia kutokana huwa sina desturi ya kusoma magazeti ya udakau.

Kiukweli kwa mara ya kwanza tangia nianze kusoma riwaya mbalimbali hii hadithi imeshanitoa machozi mara mbili aisee.
 
Thanks alot Dr. Mzizi hope utamalizia J. Mosi hii ili ulete nyingine.
 
nimeianza leo mchana sehemu ya kwanza hadi ya mwisho. raha sana kusoma iliyokamilika.
ni nzuri sana dr MziziMkavu
 
Tatzo lako hadith zako zinaishia njian banaa....akina mchungaj josiah ndo walishakufa au!
 
Daaah kweli fasihi itaishi mileleee story ya miaka mitatu iliyopita mm ndo naisoma leooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…