Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,256
- 3,892
handsome wa taifa
Kama alivyosema Aristotle,hapa Tanzania mtu akiuliza 'Mama wa Taifa ni nani,huyu mtu hataki kuelimishwa,huyu mtu anataka kuanzisha ugomvi''Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?:spy:
Samahani kama nimewaudhi, akina mama
Hawa watu mi sijui wako vipi. Maana nawaeleze mambo ya kufanya gender balance, wao wanaleta utani. Wamesahau Berlin Conference. Au kama walishindwa kutafsine neno Founder of the Nation kwa kiswahili waseme tu.Kama alivyosema Aristotle,hapa Tanzania mtu akiuliza 'Mama wa Taifa ni nani,huyu mtu hataki kuelimishwa,huyu mtu anataka kuanzisha ugomvi''
Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?:spy:
Samahani kama nimewaudhi, akina mama
I think some of you guys are either nincompoops or are idle and loves to trivialize issues or have very poor sense of humour when it comes serious issues. If you cant contribute intelligently why not become a reader and learn from people like mwanakijiji???Bibititi Mohamed
Ni kweli kabisa ni vigumu kusikia kina mama wa taifa. kutosikia kwetu haimaanishi kuwa hawapo.Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?:spy:
Samahani kama nimewaudhi, akina mama