Mama wa Kambo

Plot twist: Huyo mama wako wa kambo aliekunyanyasa unaeza kuta humu jf anajiita BICHWA KOMWE au DIVISION FOO, dunia ya ajabu sana hii Poor Brain
 
Pole sana, mshukuru Mungu amekulinda na mpaka leo upo hai, wapo waliokutana na mikasa hii na kupoteza maisha yao. Kwa kuwa Mungu amekulinda na umepata somo la kuja kuwa baba bora, samehe yote, msamehe baba yako na mama yako wa kambo.
Huwezi kujua maumivu aliyokuwa nayo mama wa kambo hadi yakamfanya akuumize kiasi hicho.
 
Yaan mpaka anafanya vile mimi nilimfanya nini mkuu..
Haiwezekani mtu anakufanyia ubaya yaan bila kosa anakuchukia tuu
 
Pol Pole mwana.
Niligundua ktk andiko lako ni kuwa baba yako hakuwa mtu wa kujifunza haraka maana haiwezekani akae na wewe pekee yako zaidi ya mwaka halafu hasijue mwenendo wako.

Sasa uvivu wake wa kujifunza ulimfanya amuamini huyo mkewe wakati ilikuwa ni jambo tu la kubaini kuwa km ni kweli ulimwaga hayo mafuta basi haikuwa makusudi.

Lkn pia sasa kama mafuta yamemwagika,tayari umeadhibiwa,sasa kwa nini akuadhibu tena?
Lkn je baada ya ukatili woote huo mafuta yatarejea?
Hapakuwa na sababu ya yote hayo.
Pole sana,lkn utakuwa umejifunza ushetani wa baadhi ya binadamu.
Ukikuta mwanamke yuko fyatu hata kwa mtoto wake anafanya hayo mpaka unawaza,hivi huyu mtoto siyo wake?
 
Baba alioana mwanamke wa makamo sisi tukiwa wakubwa ndani. Sisi tuna asili ya ulaya yaani machotara. Mzee alipokuja siku moja na bint wa kati ya 35+ tulimkaribisha na ni sisi vidume tuliempikia breakfast baada ya mzee kula mambo yke usiku kicha.

Asb hiyo mamaa alitaka asepe tukamzuia, tukamwambia ni utamaduni hapa haondoki mtu bilakupata kuifungua kinywa.

Akashangaa maana alikuwa alishakaribia langokuu la kutokea nje. Mzee alituonea noma kumtoa hivyo alimuacha atoke then amwambie mdg wetu wa mwisho amsindikize.

Mzee baada ya kusikia majibizano japo si fujo akatoka akiukiza kuna nini hapo nilijitokeza nikasema haiwezekani atoke bila breakfast.

Bint aliona aibu ya kike, akakaa kwenye sofa. Birika chap yenye chainikawekwa mezani na Mimi haraka sana nikakaanga mayai mawiki na mkate nikamuwekea.

Nikamwambia endelea. ....

Akanywa pale dogo akampa kampani akasepa. Jioni walivykutana huko wanakokitaniana nikahisi response kwamba yule mwanamke alipata hofu na anatuogopa maana mshua alikuja na chuki kwamba kwann tumemlazimisha.

Mbele ya wazee wetu unajua hakuna kuji tetea ni mwendo wa kusikiliza tu. Na nikahisi asingehisi tunamtaimu maana yule mmama ametuzidi 10+

Tukaamua kuuchuna kila anapokuja, baadae likaja neno lingine mbona hamumsikilizi mama yenu. ..." Mzee tukiongea nae ni shida rukimfanyia ukarim ni shida..tuelekeze cha kufanya.." mzee akakaa kimya kama dakika moja, akasema fanyeni mnavyoweza.

Kwa sasa tumekuwa wakubwa yule mmama ana mtoto wa kile anamlengesha kwangu. Nikakaa na huyu binti siku moja baada ya kurudia kwenye kaz zangu.
.." wewe unajua Mimi na wewe ni ndg?
Akajibu ndio, nikamuuliza unataka nini. Akasema ukweli, anataka mbegu! Nilishangaa mpaka leo bado nashangaa.

Siku moja alinifata akitaka jibu, nikamuangalia kwa umakini sana. Wkt namchunguza, akanipasulia stori, akiwa amekaa na mamaake, akimwambia anatuoenda sana watoto wa huyu mzee. Wakati mamaake anasema hayo yeye akawa na mpango kutega mimba.

Nikamwambia kisaikilojia, kwamba ikiwa atataka tu mtoto mwenye asili kama sisi aseme nimuungamishie na wazungu.

Mnajua wazungu Malaya wapo wakifika bongo wanapenda kupinga mbichi wakiamini wao wana sindano kinga ya magonjwa. Nikafikiria kumpeleka huko.

Q bar.
Akapata zungu likampa mimba
Bahati yake nzr alichukua contacts kwa makubaliano yankukutana tena.

Kwa sasa ana africast boy kid.

Kuna siku alitaka aniingize kwenye msala, wa kumpeleka kujiuza. Nikafanikiwa kudanganya mzee kuwa dogo aliomba kampani kutoka, yeye akampenda mzungu. Bahati nzr pia mzungu amemkubali mwanae.
 
Wewe hukuwa na hatia, ila elewa kuna watu wakishavurugwa na maisha wanamwona kila mtu adui.
Mkuu acha tuu kuna mengine nimeskip ila maisha haya acha tu mpaka sasa nipo hapa nasemaga kuna sababu...

Nipo na golden blood,, kuna mambo nilifanyiwa mpaka sasa nipo salama nasema kuna namna mkuu
 
Mkuu acha tuu kuna mengine nimeskip ila maisha haya acha tu mpaka sasa nipo hapa nasemaga kuna sababu...

Nipo na golden blood,, kuna mambo nilifanyiwa mpaka sasa nipo salama nasema kuna namna mkuu
Mungu amekutunza kwa makusudi maalumu, mengine mwachie Yeye, simama katika mema, ninaamini utakuwa baba bora na mume bora kwa mke wako.
 
Mkuu na utakuta Mama watoto wako kaolewa pia na Mume wake hataki kuishi na wanao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…