Mama wa kambo amuhasi, vunjavunja mikono, miguu, kata ulimi, toboa jicho Mtoto(disturbing pic)

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
Ushetani huu umefanywa na mama wa kambo wa mtoto huyu tena kwa kutumia wembe. Wanawake jamani malaika kama huyu huwa amekosa nini hadi kumpa adhabu kama hii??

Hapa ni KANO Mji unaosumbuliwa na BOKOHARAMU kila Siku lakini mama anapata Muda wa Kimtumbua mtoto wake wa kambo namna hii.

updates
Screenshot from 2016-05-30 03:08:54.png

Mtoto Musa akiendelea kupata matibabu baada ya Kuvunjwavunjwa na kuchanwa na viwembe na MAMA yake wa KAMBO. Hapa ametembelewa na Kiongozi wa Eneo hilo. Ni tukio lililogusa hisia za watu wengi sana.

=====================

Kano Police Arrest Stepmothers Who Castrated, Tortured & Broke 2yr Old Boy's Arm

Police in Kano have arrested two housewives, Zainab and Hafsatu Musa, for allegedly torturing and breaking the legs and arms of a two-year-old boy.

The women are married to the same man but the child belongs to the third wife, who had packed out of the house.

The state Police Public Relations Officer (PPRO), DSP Magaji Majiya, said the incident occurred on Friday. According to him, when the women’s husband, Murtala Musa, came back home about 8pm, he met his two-year-boy laying in critical condition.

The PPRO said on seeing the condition of the boy, Musa rushed him to the hospital where it was
confirmed that his legs were broken and that blood was oozing from his nose and ears, while doctors said he might have problems with his eyes.

Musa, a resident of Gulu town in Rimin Gado Local Government Area of the state, was said to have divorced his third wife, who left his two-year-old boy. But the man handed the boy over to his senior wife, Zainab, to take care of him. But unknown to him, the boy is usually subjected to torture by the two wives, because he was not their child.

After their arrest, the state Police Commissioner, Abbati Dikko, directed that they be transferred to the State Criminal Investigation Department (SCID) for further investigation.

Already wife of the police commissioner, who is also the Chairperson of the Police Wives’ Association against Child Abuse, Hajiya Aishatu Diko, has intervened in the case. She promised that her association would follow the matter to a logical conclusion. According to her, cruelty against children is not tolerable.


Chanzo: Nairaland

================

Baadhi ya Picha zimeondolewa Sababu zinamdhalilisha mtoto mdogo.
 
Akamtwe ahukumiwe sawasawa na alivyomhukumu huyu mtoto. Huyo mama ni muuaji.
 
ukipewa nafasi ya kupendekeza adhabu utampendekezea adhabu gani mama kama huyu
 
klwa kweli mnashughulika naye tu mtotot mchanga huyu hata haelewi dunia inakwendaje hata baba wa mtoto naye kichaa tu
Pengine mizizi imeshika hatamu kwa huyo baba mtoto, ila ni wa kumchana chana kwanza kisimi chake na wembe, halafu unamuweka mkono wa kulia chin sakafuni unamtia panga kati kati ya kiganja cha mkono, unachukua spoku ya baiskeli unaitia jikon unaipitisha jichoni. Halaf mahojiano yanaanza.
 
Pengine mizizi imeshika hatamu kwa huyo baba mtoto, ila ni wa kumchana chana kwanza kisimi chake na wembe, halafu unamuweka mkono wa kulia chin sakafuni unamtia panga kati kati ya kiganja cha mkono, unachukua spoku ya baiskeli unaitia jikon unaipitisha jichoni. Halaf mahojiano yanaanza.
duuu, umeua
 
Kumpeleka kwenye vyombo vya dola mtu kama huyu ni kumpendelea, naomba niishie hapo.
 
Back
Top Bottom