cocochanel pita hapa, haya mtoto huyo.
cocochanel pita hapa, haya mtoto huyo.
Ha ha ha anavyojua kupiga mzinga(kukopa) atamfilisi nesi mkunga wa watu.
[emoji1] huu uzi haujaulaani mkuu naona una baraka zako.Mchana unawaza mama wa hiari..empty brain ww
Dah mama huyo kapatikana, mtumie Tafadhali Nipigie akupigie mtotoUnakaa wapi .mie nipo radhi iwapo utaridhia.nipe no yako nitakupigia.
Hii ni mbunu mbadala wanayotumia maganda ya ndizi kuopoa mijimama
Ha ha ha haaaaaaaa. .. Mbona huyu hajapishana sana na firstborn wako, yule si anatimiza 26 mwakani February?Sijui nikujibu nini
Bali nitalike tu ulichoniposti..
Labda mdau atuambie kama anataka mama wa hiali mwenye upendo kama mimi?
Ila kwa umri wake mie nitaweza kuishia kujiona kibibi kizee wakati bado nadai haswa haswa.. hakuna kuzeeka shaaa eeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] huu uzi haujaulaani mkuu naona una baraka zako.
Jamaa huwa ananifurahisha sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana mihemko sio ya nchi hii [emoji2][emoji23][emoji23]Jamaa huwa ananifurahisha sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]