Nawasubiri. Leo nimevurugwa sana, wajipange.Chachandu na Ndulele za JF sidhani kama zitakuacha mzima ππππ
Samahani boss kwa hiyo humu wengi ni single mama ama?Nawasubiri. Leo nimevurugwa sana, wajipange.
hahahaha eti Ndulele za JEieFuChachandu na Ndulele za JF sidhani kama zitakuacha mzima ππππ
Ila mama umri ushaenda kutokufanya hayo haiashangaziMama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pqmoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lkn bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake.
Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi uanza vituko navitimbi kuwadharau na kunyanyasa waume zao na kupelekea ndoa kuvunjika.
Utakuta mke anarudi nyumbani muda anaotaka, ukimsemesha anabinua midomo utadhani kidari cha kuku wa ofa. Maneno ya shombo na machafu yatamtoka mwanakwetu utadhani shimo la choo cha stendi.
Be humble, you will not stumble.
PeriodKila pande kuna ushuzi tu mbona kuna wanaume tunaanza zero na wanawake kimaendeleo lakini mambo yanapokuwa mazuri tunawasahau pamoja na kuvumilia ahadi hewa zetu? Mambo mengine ni busara za mhusika
Wapo wazee zaidi yake lkn hawajielewi.Ila mama umri ushaenda kutokufanya hayo haiashangazi
Ngoja waje mkuu.Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pqmoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lkn bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake.
Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi uanza vituko navitimbi kuwadharau na kunyanyasa waume zao na kupelekea ndoa kuvunjika.
Utakuta mke anarudi nyumbani muda anaotaka, ukimsemesha anabinua midomo utadhani kidari cha kuku wa ofa. Maneno ya shombo na machafu yatamtoka mwanakwetu utadhani shimo la choo cha stendi.
Be humble, you will not stumble.
Mkuu unauhakika gani anamuheshimu mumewe, usikute mwanaume mwenzetu kakubali kuwa mpole maisha yaendeleeMama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pqmoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lkn bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake.
Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi uanza vituko navitimbi kuwadharau na kunyanyasa waume zao na kupelekea ndoa kuvunjika.
Utakuta mke anarudi nyumbani muda anaotaka, ukimsemesha anabinua midomo utadhani kidari cha kuku wa ofa. Maneno ya shombo na machafu yatamtoka mwanakwetu utadhani shimo la choo cha stendi.
Be humble, you will not stumble.
Mbona kuna wanawake wengi tu wanawaheshimu waume wao na kudumisha ndoa?... bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake.