Kweli Tuko nimechapia du! kuna mtu alikuwa ananiongelesha "You might be correct" sasa waweza zi-recycle tena ili tuupate ukweli
Mkuu Vunjo ipo mkoa gani.... Tena wanawake mumshikilie atimize ahadi zake!!
Maelfu ya wanawake Jimbo la VUNJO wamejitokeza kumpokea Mama Samia, miongoni mwa wanawake hao wengine wanatoka chadema. Aidha wamemtaka katika serikali yake ajitahidi kuhakikisha anaboresha miundo mbinu jimboni hapo swala ambalo limekuwa ni changamoto ya muda mrefu.
Hapa kazi tu,Magufuli atosha sanaaaaa,wengine wa nini,hatuwahitaji hao kwa kuwa hawana dira wala mpango na sisi wananchi wa chini,wetu Magufuli tu,anatosha sanaaaa,,,,,mwingine hana nafasi
Mi najua mto Uashi uko Rombo...Vunjo?
Picha za zamani