Eee uchungu wa mama aujuae mzazi, hakika huyu ni mkombozi wa akina mama
Hiivi mgombea mwenza wa CDM yupo....mbona toka nisikie akishushwa jukwaani pande za kusini amekuwa kimya kabisa?
Mkuu Vunjo ipo mkoa gani.... Tena wanawake mumshikilie atimize ahadi zake!!Eee uchungu wa mama aujuae mzazi, hakika huyu ni mkombozi wa akina mama
Picha za Rombo acha uzushi
Kwani wanawake waliowanachama wa CHADEMA sio Watanzania, aidha, ulijuaje kuwa wanatoka CHADEMA na sio vyama vingine ? Mbona hapo sioni sare za CDM. Na kwa nini Wagombea wengine wanazuiliwa kutembelea hospitali ilihali yeye anaruhusiwa, Timu ya Kampeni ya CCM safari hii inachangia kupunguza kura za Dr. Magufuli. Kama imezuiliwa wagombea kwenda kwenye taasisi za uuma iwe kwa wote ili mwingine asione kama ananyanyaswa kitu ambacho kinaweza kusababisha apigiwe kura za huruma a.ka, Usamaria Mwema.
Leta Zako Za Vunjo Ulizonazo
Naweza kukuamini tena walisema hiyo hospitali aliyotembelea inaitwa huruma huko romboPicha za tarakea rombo acha uongo mleta mada muulize Shirima vizur akuambie vunjo ilivyo yeye ndio mgombea Wa ubunge kama vyunjo ccm ata diwani awapati wameshachoka na ccm
Mbona sion maelfu jaman