Mama Samia aisambaratisha Arusha

Mama Samia aisambaratisha Arusha

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]MAMA SAMIA AISAMBARATISHA ARUSHA, UKAWA BAI BAI..............[/h]

Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kampeni Arusha akiungwa mkono na viongozi wengine pamoja na Wanachama.

11889641_801020006682659_977777573396618614_n.png


11891163_801020030015990_4165755842736634706_n.png


11885080_801020120015981_5219355362920990597_n.png


11902442_801020113349315_7447469762079727019_n.png


11887841_801020130015980_7775822554659466624_n.png


11889569_801020206682639_4039885381797440126_n.png


11900011_801020250015968_1343736900906241408_n.png


11960117_801020246682635_6566073770339343272_n.png


11889456_801020260015967_17899257507817127_n.png


11880368_801020346682625_2280345220034425780_n.png


11902553_801020373349289_2295240033110979856_n.png


11889641_801020006682659_977777573396618614_n.png
 
Sasa picha mbona unarudiarudia hapo khaaa sijaona mafurikooo arushaaaaaaaaa wanasubir ukawaaaaaa
 
Sasa picha mbona unarudiarudia hapo khaaa sijaona mafurikooo arushaaaaaaaaa wanasubir ukawaaaaaa
Na bado magufuri hajapita huko,huyo ni mgombea mwenza tu,bado kina kibajaji,nape,nyerere na wengine ambao nao wanashambulia kungine,mwaka huu hamtajua goli limeingiaje,ni mashambulizi ya kufa mtu kila upande nyie endeleeni kuzurura masokoni na kwenye daladala za dar
 
Naona mdau hujielew lol sasa hapo halaik iko wapi ww subirini jumamos muonyeshwe maana ya mabadilikoooo ndo mtaelewaaaaa lowasa ndo nan
 
CCM Hapa Arusha Ni Marehemu Wa Siku Nyingi Zilizopita,
Usijitekenye Mwenyewe Na Kucheka!
Mgombea Wake CCM ni Wakala Wetu UKAWA sasa.......
 
CCM Hapa Arusha Ni Marehemu Wa Siku Nyingi Zilizopita,
Usijitekenye Mwenyewe Na Kucheka!
Mgombea Wake CCM ni Wakala Wetu UKAWA sasa.......

Mbona hata lowassa bado ana kadi ya ccm.hulijui hilo nini mkuu,hajairudisha kadi si tunawachora tu,mtakuja kulia mbele ya safari
 
Unajua umbali wa tanga-arusha ww km hujui piga kimya acha kuandika pumba.
 
Kama kuna tatizo ninaloliona kwa CCM ni kujaza watu wenye uniform za njano na kijani.....wanamahesabu watanielewa....
 
Wadau wa picha na wataalam wa kugundua picha, nawaomba tunzeni kumbukumbu kwa front objects zilizo kwa foto ambazo huyo mama anapita hasa nyanda za kaskazini.
Mtagungua kuna kina mama ndiyo hap hao anaozunguka nao kwa hizo meeting's zake.

Kingine wapiga picha wa matukio hayo, nao wanalipwa kudungua foto zenye kuonesha foto object yenye ushawishi na mvuto kwa viewers.
So mimi #SIDANGANYIKI.
 
Back
Top Bottom